Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

Aiseeee mademu wakali balaa kweli wameenda na hizo Mali safi . Maanina zake hayo mayatollatolla
 
Sio kweli hizo sheria waliwekewa na hao wafuga ndefu baada ya kumpindua mfalme shah mwaka 1979 so kuwa makin na chanzo chako cha taarifa chief.
 
Suala la mavazi binadamu ndo waliamua wavae baada ya kuona wako utupu waliwekwa bustanini wakiwa Kama tuzaliwavyo, kwa hio vaa chchote mradi usiwe uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…