Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Yah ni kweli, wachezaji zamani kdg walikuwa na ukasumba wa kukubali
Ana na matajiri wao huku wacheze tu bongo....
Wakati tayari walishapata nafasi nje

Ova
 
Said mwamba kizota ilikuwa machine ya ufungaji nayo
Nmewakumbuka wakina gagarino,kuna huyu wa nyuma kdg
John makelele zigzag

Ova
mkuu una data nyingi sana za soka la nchi hii. vp unaweza simulia chanzo cha mchezaji wa simba kufia uwanjani miaka hiyo?
 
1. Steven Nemes
2. Bakari Malima Jembe Ulaya
3. Slyvatus Ibrahim Polisi
4. Banza Tshikala
5. Eustas Isack Bajwala
6. Anwar Awadh Kaicho
7. King Ken Mkapa Dalglish
8. Salvatory Edward Augustino
9. Sekilojo Johnson Chambua
10. Mohamed Husein Mmachinga
11. Ebily Jonas Lunyamila
12. Yusuf Fundi
13. Efraem Makoye
14. Said Maulid SMG
15. Chibe Chibe Chibindu
16. Mzee Abdalah
17. Mohamed Abdulkadir Tash
18. Abubakar Kombo
19. Henry Moris Ng'oye
20. Ally Yusuf Tigana
21. Abdul Maneno
22. Paul Jonh Masanja
23. Peter Manyika
 
huyu 14:Said maulid SmG nasikia ulikua moto wa tanuru ,kaa nae mbali kabisa
 
1. Stivin Nemmence (jamaa alikuwa bonge bonge lakini bonge moja la kipa kuwahi kutokea.

2. Sekilojo Chambua (Tukuyu stars akaja YANGA
3. Niko Bambaga (Tukuyu stars
4. Asanga Aswile (Tukuyu stars
5. David Kufakunoga (Tukuyu stars
6. Likupilika Mkoba (Tukuyu stars
TUKUYU STARS ENZI HIZO IKIJULIKANA BANYAMBALA yaani WANAUME.
Nimewataja wengi wa Tukuyu stars ksbb mkoa wa Mbeya hususani wilaya zake una historia kubwa kwenye soka la bongo. Huo mkoa umezalisha wachezaji wengi ligi ya bongo.
Pia Tukuyu stars ilipanda daraja moja kwa moja na kuchukua ubingwa wa bara. Kuna mwaka Tukuyu stars iliiokoa simba kushuka daraja. Hiyo mechi japo nilikuwa mdogo,lakini nakumbuka,ilichezewa Sokoine mjini mbeya,ili kunusuru simba isishuke Tukuyu stars ikafungwa goli kitu kama 6. Hiyo mechi ilikuwa ya mwisho wa ligi. Simba ingedroo au hata kushinda chini ya magoli 6 ingeshuka daraja. Kwa sababu ya historia YANGA na simba ingekuwa aibu simba kushuka. Kwa hiyo Tukuyu stars ikashuka badala ya simba. Mwaka uliofuata ikapanda tena daraja.
Wenye kujua zaidi hapa wanaweza kujazia na kunisahihisha. HISTORIA


7. Edibilly Jonas Lunyamila (bonge moja la mshambuliji(alitokea nadhani Tabora huko,akachezea kwa mafanikio sana YANGA. (Sasa hivi nafikiri yuko kwenye uongozi TFF)

8. Fumo Ferisian
9. Pawasa (kutoka pamba,enzi hizo ikisifika wana TP Lindanda-sijui ilikuwa na maana gani? Akachezea kwa mafanikio simba
10. George Masatu pia alitokea pamba akaenda simba
10. Mhamed mwameja (Simba)
 
Wewe tutakuwa tunalingana kiumri, mimi pia nilikuwa shule ya msingi na nilimpenda zaidi Nadir Haroub Cannavaro.

Ngoja niongeze list
12. Shadrack Nsajigwa
13. Amri Kiemba
14. Jerry Tegete
15. Erasto Nyoni
16. Ulimboka Mwakingwe
17. Mgosi
18. Victor Costa
19. Selemani Matola
N.k
 
Ni kweli, mi nikiwa A Shy yeye Alex Nashon alikuwa O level nadhani F1 Buhangija Sec School. Ila alisumbua sana Umiseta toka akiwa F1 alikuwa anachaguliwa hadi taifa. Gulamali alimpandia dau akiwa F4 mwaka 92.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…