Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga
Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa.
Lakini hawajuani majina halisi.
Utasikia wakiitana, Bro, Mzee baba, Mwamba, we mwana YANGA, John Bocco, Bosi, Tolu, Kipara, we kolo. na majina mengine ya hovyo hovyo.
So smart, hakuna kufuatiliana maisha.
Sasa Kutana na wanawake wakiwa pamoja, weeeee 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥