Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.

Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.

Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni(survival skills) ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.

Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.
Hao wameajiriwa kwa ajili ya kumlinda Mbowe aliyeko mjini, huko msituni unataka wakafanye nini?

Au unadhani Mbowe ni swala akalindwe dhidi ya Simba?

Halafu nani aliyekudanganya mavazi yanaongeza ujuzi wa komandoo? wengine wanavaa nguo ya ndani tu na huwezi kuwasogelea.

Huna unalojua.
 
Umeshaanza nongwa zako!!

Uzito ni ukomandoo wa kizamani.

Ukomandoo wa kileo uko ndani ya kichwa zaidi.

Ndio maana pale kwa Pontio pilato akina Swilla walipewa za uso.
Sayaret matkal ushawahi kuwaona riziki yao? Acha unanga wewe unaheshimika jf
 
Mafunzo ya ukomandoo Tanzania nayajua in and out mama angu. Nimeandika kitu nachokijua mtoto mzuri.

Mbona kukuruka hivyo ewe mtalaamu?

Mnaonekana kuwa mnaumia sana kuona Mbowe analindwa na makomando?

Chuki yako inafanana copyright na ya jiwe, Kingai au Sirro. Vipi nduguzo hao?

Hivi kwa uelewa wako ewe uliye mkufunzi wao hawa mabwana, huwa hawajifunzi kuzipiga Kavu Kavu au hata kuzipiga kikamilifu bila kutumia silaha zozote za moto?

Mengine si muishie kudanganyana Lumumba huko?

Huku mtaumbuka!
 
Hakuna komando hapo bali ufugaji wa kikundi cha kigaidi
... mahakama tukufu imethibitishiwa officially wahusika ni makomandoo waliopikwa wakaiva; mkufunzi wao kathibitisha hayo mbele ya mahakama tukufu. Imethibitishwa wameshiriki mission kali hadi nje ya nchi mara kadhaa na zikaenda successfully; halafu anatokea mlevi mmoja kajiharishia anadai "hakuna komandoo hapo".
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Mahakama imewatambua kama makomandoo, Jeshi la Jwtz liliwatambua hivyo, Jeshi la Polisi Tanpol linawatambua hivyo, DPP na DCI wanajua hivyo.

We Nyani Ngabu ni nani?
 
Determined; cool-headed; reliable; energetic; flexible and adaptable; a great teamworker. You need to have: stamina; quick reactions; a sense of responsibility.
These are some qualities of a commando.
 
Mahakama imewatambua kama makomandoo, Jeshi la Jwtz liliwatambua hivyo, Jeshi la Polisi Tanpol linawatambua hivyo, DPP na DCI wanajua hivyo.

We Nyani Ngabu ni nani?
Mimi Nyani Ngabu ni jinamizi lako.
 
Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.

Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.

Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni(survival skills) ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.

Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.
Nakukumbusha mmoja hapo alikuwa mlinzi wa waziri wa ulinzi kipindi hicho Mwinyi
 
Na mahakama hio hio ilimkuta mbowe ana tuhuma za ugaidi kabla ya msamaha kupita
... mahakama tukufu imethibitishiwa officially wahusika ni makomandoo waliopikwa wakaiva; mkufunzi wao kathibitisha hayo mbele ya mahakama tukufu. Imethibitishwa wameshiriki mission kali hadi nje ya nchi mara kadhaa na zikaenda successfully; halafu anatokea mlevi mmoja kajiharishia anadai "hakuna komandoo hapo".
 
Makomandoo wa udongo

Walikuwa wapi wakati Mbowe anapiga mweleka kule Dodoma baada ya kugugumia nyangi?

Walikuwa wapi kuzuia polisi wasimiharass Mbowe?

Ningekuwa na uwezo ningemdelete Mbowe ķwenye uenyekiti wa CHADEMA.

Ashapitwa na wakati,tunahitaji mtu mpya mwenye maono mapya wa kuipeleka CHADEMA mbele.

Makomandoo uchwala wavaa pampasi
Una uhakika kua alikunywa nyagi??wote waliomzushia Mbowe wako hoi,sabaya,makonda,ndugai na jiwe ndo basi tena.mlifurahi kweli.mkajua Mungu ni kama kabudi eeh??
 
Na mahakama hio hio ilimkuta mbowe ana tuhuma za ugaidi kabla ya msamaha kupita
... nikajua unazungumzia hatia kumbe tuhuma? Wewe ni malaya; utakuwa malaya kweli kwa kuwa nimesema au nimekutuhumu? Mbona waliondoa kesi?
 
Na mahakama hio hio ilimkuta mbowe ana tuhuma za ugaidi kabla ya msamaha kupita
Kwa ushahidi ule kulikuwa na kesi pale???? Naona mmeumia kweli DPP kukubali kuwa kuna utaahira ulifanyika na kuamua kutenda haki
 
Back
Top Bottom