Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

wewe vipi?
 
B
Bro umenisahau hapo kwa akina Kiranga na mimi mbona nipo hivyo
 

Nilituma maombi kwenye ofisi ya kina Lucas Mwashambwa nikajibiwa nafasi zimejaa. Alafu uwezo wangu ni duni sanaa
 
Licha kuwa wana heshimika humu kuna wengine ni wakorofi na ni radical. Kiranga tumechuana naye humu mpaka akanidharau na kuona mi si level yake kwenye mijadala yake na amenitangazia kuniweka kwenye list yake ya ignore. Huyu mjuba kwangu mimi namuona ana kiburi na kujiona ana akili nyingi kuliko wengine, ana maringo. Tanganian yeye naye tumechuana naye kwenye nyuzi za watu, yeye pia ana dharau sana, kwangu mimi ni saizi yangu nammudu, huwa anaingia mitini nikimshinda. Wengine hujiona wana akili kubwa ya kufikiria kuliko wenzao, hujiona ni wasomi wakubwa wanaojua kila kitu duniani, huwaambii kitu, wana matusi balaa!
 
Same tumekuwa tunabishana na Kiranga na Infropreneur
Wanasema hamna Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…