kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
With all due respect 🙏! Natambua kingereza ni lugha kubwa sana world wide, lakini jinsi mleta mada alivyoitukuza hii lugha utadhani sijui ni nini kumbe ni lugha ambayo mtu yoyote akiamua kujifunza anaimudu vyemaMkuu,
Hili bandiko lako lenyewe kulijibu nimekutana an Thanks, Quote Reply.
Kiingereza ni lugha kubwa sana ya mawasiliano duniani.
Utake usitake.
Mpuuzi kweli wewe, Karne hii ni ya kujivunia kujua kingereza ? Mshamba kweli kweli wewe , utakua umekuja mjini na mwenge !!!!! hii ni lugha nyepesi sana hata kama hujasoma ukiamua kujifunza unaimudu bila shida, na inaongeleka sehemu nyingi tu duniani ! Nini kipya cha zaidi ?Acha kujipa moyo kijinga. Kama hujui kiingereza ninakuhesabia kama mtu mwenye ulemavu.
Hongera kwa hiki kiingereza chako cha juhudi binafsi. Wewe kama utaweza kuongea kiingereza kwa dakika tatu bila kukwama itakuwa ni maajabu ya karne.Nilipokuwa dogo a few years back nilikuwa naona ishu kubwa kujua kiingereza. Now naona ni upuuzi tu kujisifia ujuzi wa hiyo lugha. Sure, it's a good skill but not as grandiose or impressive as regarded by many of your kind.
You know what's impressive? Catching a 40-story building sized rocketship with gigantic mechanical chopsticks. Now that's impressive! It literally scratches my brain with excitement. It's just magnificent witnessing the wonders of such advanced, complex, and sophisticated engineering. Breathtaking!
Nadhani kuna level tofauti za ufikiri ambazo mtu hupanda gradually kwa kutegemea na... For now, I don't know. Labda ni genetics. Ninachojua baada ya kufikia hizo level mambo mengi, ikiwemo hili hugeuka upuuzi usio na maana. It's incomprehensibly intellectually below me.
Wanakuwaga wengi hao hasa wazee wazee hivi. Sijui huwa Ni depression au ni kitu ganiKuna Chizi mmoja huku ninapoishi ni taahira ila anapiga ung'eng'e noma naomba umuongeze kwenye list hapo 12 andika Chizi mmoja
Endelea kujipa moyo kindezi.Mpuuzi kweli wewe, Karne hii ni ya kujivunia kujua kingereza ? Mshamba kweli kweli wewe , utakua umekuja mjini na mwenge !!!!! hii ni lugha nyepesi sana hata kama hujasoma ukiamua kujifunza unaimudu bila shida, na inaongeleka sehemu nyingi tu duniani ! Nini kipya cha zaidi ?
Kumbe unawajua na wewe wanapiga inglish imenyooka mpaka unajiuliza kwani huyu mboni inglish ipo straight kiasi hiki alikua anasoma Kenya au kule kwa Malkia? Jamaa huamini km kachizika English imenyooka kwenye tape measureWanakuwaga wengi hao hasa wazee wazee hivi. Sijui huwa Ni depression au ni kitu gani
Wth are you on about? Mimi siongei English ndani ya dk 3, mimi nafikiria kwa English 24 hours. That's why nachanganya lugha ili tuelewane. The fact that unadhani English ni kitu kikubwa hivyo ni proof tosha hauwezi kunielewa. I won't waste my time here!Hongera kwa hiki kiingereza chako cha juhudi binafsi. Wewe kama utaweza kuongea kiingereza kwa dakika tatu bila kukwama itakuwa ni maajabu ya karne.
Asante kwa kuweka muktadha mkuu.W
With all due respect 🙏! Natambua kingereza ni lugha kubwa sana world wide, lakini jinsi mleta mada alivyoitukuza hii lugha utadhani sijui ni nini kumbe ni lugha ambayo mtu yoyote akiamua kujifunza anaimudu vyema
You really have a calling in BROKEN English. Congratulations bro.Wth are you on about? Mimi siongei English ndani ya dk 3, mimi nafikiria kwa English 24 hours. That's why nachanganya lugha ili tuelewane. The fact that unadhani English ni kitu kikubwa hivyo ni proof tosha hauwezi kunielewa. I won't waste my time here!
Also, that's a pathetic fact.
You really have a calling in BROKEN English. Congratulations bro.
Nakubali mkuuMoja kati ya thread hovyo kabisa kuwahi kuwepo JF
Hapo ni watatu tu wanastahili1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan
2. Jokate Mwegelo
3. Mimi
4. Freeman Mbowe
5. Mwigulu Nchemba
6. Tundu Lissu
7. Vanessa Mdee
8. Nikki wa II
9. Hamissa Mobetto
10. Adam Mchomvu
Acha.bangi1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan
2. Jokate Mwegelo
3. Mimi
4. Freeman Mbowe
5. Mwigulu Nchemba
6. Tundu Lissu
7. Vanessa Mdee
8. Nikki wa II
9. Hamissa Mobetto
10. Adam Mchomvu