Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hata hoja zikitolewa,utadai kwa nini huyo Mungu hakufunguliwa mashtaka ya mauaji!Huyo anatuzuga tu hana anachoweza kukitetea kwa hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hoja zikitolewa,utadai kwa nini huyo Mungu hakufunguliwa mashtaka ya mauaji!Huyo anatuzuga tu hana anachoweza kukitetea kwa hoja.
Hoja ni namna unavyodhani kuwa ni hoja.Kwani unadhani unaweza ukaangalia angani ukaziona hoja zinapita kama vimondo.Kwamba hoja ileee inang'aa!Hoja ukiiona utaijua?
Maana nimekuletea hoja, hujaijadili hoja, unanijadili mimi.
Una uwezo wa kujadili hoja wewe?
Ushaanza kuniwekea maneno kabla sijayasema.Hata hoja zikitolewa,utadai kwa nini huyo Mungu hakufunguliwa mashtaka ya mauaji!
You are a freaking troll.Hoja ni namna unavyodhani kuwa ni hoja.Kwani unadhani unaweza ukaangalia angani ukaziona hoja zinapita kama vimondo.Kwamba hoja ileee inang'aa!
Nini kinakusababisha uanze kujinunisha?Polepole.Weye huwa hupaswi kujibiwa kwa kutumia akili.Maana huwa unadhani unahodhi akili zote na majibu yote unayo weye.Usijinunishe!Ushaanza kuniwekea maneno kabla sijayasema.
Acha kuniparata, get off my dilsnick already.
Kwani unadhani wote waliomdhihaki Mungu wamekufa?Weye huwa unadhihaki kwamba Mungu hayupo.Umekufa?You are a freaking troll.
Wanaokufa kwa shida wote wamemdhihaki Mungu?
Nakupeleka ignore list.Nini kinakusababisha uanze kujinunisha?Polepole.Weye huwa hupaswi kujibiwa kwa kutumia akili.Maana huwa unadhani unahodhi akili zote na majibu yote unayo weye.Usijinunishe!
Aliyekuloga amekufa.Tutapata shida sana kukuagua kwa mitishamba.Nakupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona posts zako.
Kwa sababu umeshasema hutaki kunijibu kwa kutumia akili.
Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo.Kama Mungu angekuwepo, asingekufa mtu yeyote, popote, wakati wowote, kwa sababu yoyote.
Kiranga katika uhalisia wake..Ukiweka list ya watu waliomdhihaki Mungu wakapata shida, wakati kuna watu hawajamdhihaki Mungu na wamepata shida hizo hizo, na hata zaidi, list yako ni pointless.
Ni list ya ujuha mtupu.
"Mungu Aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanaye wa pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele Yohana 3:16"
Hivi baba unawezaje kumtoa mwanao wa pekee Afe kwa ajili ya makosa ya wengine ili hali msababisha makosa hayo (Shetani) yupo na wewe ndiye uliyemuumba na unamuweza. Kwa nini usimuue ili hawa binadamu uliowaumba waishi kwa raha!?
Kwenye kitabu cha Ayubu kuna vifungu huwa vinaonesha Mungu na Shetani walikuwa wakiongea na Mungu anamuuliza Shetani kama amemuona mtumishi wake Ayubu, Shetani anamjibu. Kwa nini Mungu amuulize Shety boy kama kamuona!?
Ikiwa yeye Mungu yupo kila sehemu na anaona kila kitu na yeye ni wa kuabudiwa pekee, kilitokea nini asijitokeze kwa Wazee wetu akawaambia Mimi ndiye ninae paswa kuabudiwa na si kingine ila ni mpaka pale alipokuja Mkoloni kuieneza dini na kuona tulivyokuwa tukiabudu ni ushenzi, tuviache tufuate vya mmishionari!?
Congo Belgium, Biblia ilitumika kama kitabu cha kuhukumia vifo kwa Waafrika wenzetu pindi walipokutwa na makosa. Sasa kama Biblia ni kitabu kitakatifu, iweje kitumike kuhukumia watu Kifo!?
Tangu nakua mpaka leo hii, sijawahi kuona Malaika kachorwa kwa rangi Nyeusi ya Kiafrika ila huwa ni ya kizungu tu na Shetani huwa anachorwa mara zote kwa rangi nyeusi ya Kiafrika na pembe juu.
Mleta uzi, hebu nisaidie kunipa mwangaza kwa hayo maswali yangu.
Nadhani tusome zaidi na kuelewa. Thank you for your big support in replying my thread ila mimi nimezungumzia waliomdhihaki Allah/Mungu moja kwa moja mbele ya umati au watu kadhaa. Pengine kuna waliowengi waliofanya hivyo na kuendelea kupata tabu kwenye hii dunia bila sisi kufahamu, tunazungumzia wale waliojitokeza wazi mbele ya adhara. Na sio kila kifo, Ajali, Maradhi kinatokana na kudhihaki kwa Allah. Mwisho Ndgu. SCARS unaamini katika Materialism au Idealism?Nakupa list ya wachungaji na masheikh ambao hawakumdhihaki Mungu na walipata shida na kufariki
1. TB JOSHUA
2. MAMA LWAKATALE
3. STEPHEN AKNOLA
4. ISSA TURAY
5. WILSON BADEJO
Sheikh nooren mohammed hakumdhihaki Mungu lakini alikufa kwa ajali mbaya sana.
Sheikh Saeed bin nahynan huyu kafa siku nne zilizopita naye kwa ajali mbaya sana na hakumdhihaki Allah
Rashid bin Mohammed naye alikufa kwa shambulio la moyo na hakuwahi mdhihaki Mungu.
Na sio tu hao wapo wengi sana wamekufa na wengine wakipata shida pasipo hata kumdhihaki Mungu.
Kinachokufanya uone hao watu uliowataja kua wamepatwa na shida kutokana na wao kumdhihaki Mungu ni kipi? Nani asiyepata tabu hapa ulimwenguni?
Huyo Mungu wako historia ya dini inaonesha yeye ndio alikua muanzilishi wa kupata tabu baada ya vita yake na shetani ambapo shetani alizua utata huko juu mpaka akafanikisha kusepa na robo tatu ya malaika unafikiri tabu aliyoipata huyo Mungu ilikua ndogo?
Kwa hiyo nayeye tuseme alimdhihaki nani mpaka ikamfika hiyo tabu?
Mimi nazungumzia Mungu sio mungu brother[emoji12]Hatuwezi kutumia vitu vidogo kma maradhi vifo kuonyesha ukuubwa wamungu.
Sote tutapata shida natutakufa skumoja inaweza kua kwa cancer ukimwi risasi Moto ajali au chochote
Waumin twatakiwa tu-upadate fikra zetu juu hiko tunachokiamin, umaskini maradhi mitihani yamaisha inaweza kutupata vilevile kma inavowapata watu wengine lakin bado haimanishi chochote kuhusu uwepo aukutokuwepo kwa mungu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app