Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari za kusema Mungu yupo si hadithi za mapokeo tu.Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo.
Kifo kakiweka yeye baada ya mwanadamu kufanya dhambi.
Na tunakufa ili twende kuishi maisha ya milele.