Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unabisha jambo ambalo ukiombwa ushahidi huwezi kuuweka ?Imani si tamko lenye asili ya kiarabu.
Kwanini unatumia tamko "Dhana" katika sehemu isiyo na shaka bali hakika kabisa ?Dhana ya imani ilikuwepo kabla ya kiarabu kuwepo.
Wew ndiyo hujakielewa ulichojibiwa.Hjaelewa hata nilichokuuliza ni nini.
Naona pipa na mfuniko mnafarijiana.Namuuliza imani ni nini, anaanzia kwa Waarabu, kama vile kabla ya Waarabu hakukuwa na imani!
Ni bora ukaijadili vyema hoja iliyopo na uachane hizo habari za uarabu na hiko unachokidhania. Ama wataka tuanze kuifukua hiyo dini yenu ya kiislam!?Kwanini unabisha jambo ambalo ukiombwa ushahidi huwezi kuuweka ?
Niambie tamko Imani ni tamko lenye asili ya lugha gani ?
Kwanini unatumia tamko "Dhana" katika sehemu isiyo na shaka bali hakika kabisa ?
Kiarabu kimeanza kuwepo lini ?
Kingine ambacho hujaelewa na nanona unakurupuka kwa ujinga,umeuliza maana ya Imani, hili ni neno la Kiswahili lilitoholewa tola lugha ya Kiarabu. Sasa unakataa vipi ya kuwa tamko Imani si tamko lenye asili ya Kiarabu ?
Wew ndiyo hujakielewa ulichojibiwa.
Kwani mimi nimekuuliza "tamko imani ni nini" au nimekuuliza imani ni nini?Naona pipa na mfuniko mnafarijiana.
Sasa unakataa kama tamko Imani si tamko la Kiarabu ? Unafikiri tamko Imani ni la asili ya Kibantu ?
Sasa mimi nakupa kazi niambie tamko Imani ni tamko la asili ya wapi ?
miungu, mawe, mti, joka, uchawi nk.Kabla ya uislam jamii yenu ilikuwa inaabudu nini!?
Kiarabu chenyewe ni lugha ya Kisemiti ambayo imerithi maneno kutoka lugha nyingine.Ni bora ukaijadili vyema hoja iliyopo na uachane hizo habari za uarabu na hiko unachokidhania. Ama wataka tuanze kuifukua hiyo dini yenu ya kiislam!?
Uwepo wa dunia na vitu vilivyopo.Kilichokufanya ukakiri kwamba Mungu yupo ni nini?
Hutaki habari za mantiki katika Mungu wakati wewe kuniuliza swali tu kuhusu Mungu ni lazima ushatumia mantiki.Sitaki habari za mantiki katika Mungu, ha ha ha
Lakini kwaajili ya kujifunza
Shusha mistari
Hivi hapa tunajadili Logic au hisia?Uwepo wa dunia na vitu vilivyopo.
Uhai wa viumbe.
Mimi sitaki kujua ya ibilisi, nilikua nawaumbusha tu watu ambao walikua wanafikiri shida zinawapata walio mdhihaka tu Mungu kua hata huyo Mungu alishapata shida hapo mwanzoHujiulizi kwanini Ibilisi alifanya kibri na akaomba kwa Allah abakishwe mpama Kiyama kitakapo karibia na Allah akakubali ombi lake ?
Usipo mjua Allah huwezi kujua namna ya ufanyaji wa mambo yake.
Nilishakwambia sitaki logic.Hivi hapa tunajadili Logic au hisia?
Hebu thibitisha hakuna Mungu bwana weeee maneno mengi ya nini?Hutaki habari za mantiki katika Mungu wakati wewe kuniuliza swali tu kuhusu Mungu ni lazima ushatumia mantiki.
Unaelewa unachoandika? Au unaandika tu?
Mungu gani?Hebu thibitisha hakuna Mungu bwana weeee maneno mengi ya nini?
Kama hutaki Logic its simple that we are discussing Notion or Concept brought by colonialistsNilishakwambia sitaki logic.
Kwa nin Biblia inajicontradict yenyewe?From Biblical point of view, kuna wafalme wawili ambao walikutana na Mungu in action (wapo wengi zaid, just to mention few). Wakwanza ni mfalme Belshaza, huyu alipigwa tukio Live , alitumiwa ujumbe ukasomeka ukutani (Maneno) cz alilewa madaraka, akaambiwa kua Ufalme wako umefika mwisho wanakuja kuuchukua maadui zako.
Wapili ni King Herode, huyu alimchukua Yakobo akamuua, halaf akamkamata tena Petro , Mungu akachukia sn ... Akamtuma malaika usiku kumtoa Petro gerezani , Herode alivoamka akaamuru askari wachinjwe hadharani akidhani wao ndio wamemtorosha Petro, jamaa(Herode) alikufa huku anajikuna. That can explain the Wrath of God.
Unajuaje huyo anayesemwa kaona muandiko wa Mungu kaona muandiko wa Mungu kweli na hajachezewa shere na watu tu?From Biblical point of view, kuna wafalme wawili ambao walikutana na Mungu in action (wapo wengi zaid, just to mention few). Wakwanza ni mfalme Belshaza, huyu alipigwa tukio Live , alitumiwa ujumbe ukasomeka ukutani (Maneno) cz alilewa madaraka, akaambiwa kua Ufalme wako umefika mwisho wanakuja kuuchukua maadui zako.
Wapili ni King Herode, huyu alimchukua Yakobo akamuua, halaf akamkamata tena Petro , Mungu akachukia sn ... Akamtuma malaika usiku kumtoa Petro gerezani , Herode alivoamka akaamuru askari wachinjwe hadharani akidhani wao ndio wamemtorosha Petro, jamaa(Herode) alikufa huku anajikuna. That can explain the Wrath of God.