Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hakuna Mungu kwasababu mimi ndio Mungu wa kweliHebu thibitisha hakuna Mungu bwana weeee maneno mengi ya nini?
Sasa ni kazi yako kuthibitisha mimi sio Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mungu kwasababu mimi ndio Mungu wa kweliHebu thibitisha hakuna Mungu bwana weeee maneno mengi ya nini?
Sio la kiarabu tu, hebrew wanalitumia hilo na lina maana tofauti na hiyo unayoijua weweNaona pipa na mfuniko mnafarijiana.
Sasa unakataa kama tamko Imani si tamko la Kiarabu ? Unafikiri tamko Imani ni la asili ya Kibantu ?
Sasa mimi nakupa kazi niambie tamko Imani ni tamko la asili ya wapi ?
Ukiweka list ya watu waliomdhihaki Mungu wakapata shida, wakati kuna watu hawajamdhihaki Mungu na wamepata shida hizo hizo, na hata zaidi, list yako ni pointless.
Ni list ya ujuha mtupu.
Kama Mungu angekuwepo, asingekufa mtu yeyote, popote, wakati wowote, kwa sababu yoyote.
Hawana jipya, wanarudia na hata wanaporudia hawana hoja.Kwani hivi ni kwamba haya mambo mnaya update au vipi mbona hii kitu niliisoma humu siku za nyuma sana na comments zakina Kiranga lakini leo tena nausoma ukiwa kama mpya kabisa eti 22 hours ago?
Sasa kama kufa hakuhusiani na kumdhihaki Mungu, kwa nini mleta mada kakuhusisha na kumdhihaki Mungu?usipanic sana kufa hakuhusiani na kumdhihaki Mungu au la wala kumkanusha au kumkubali.
Kifo ni kiumbe kama ulivyo wewe la muhimu kwako umejipangaje kuepuka kifo cha KIBUDU?
Kwa nini nashangaza?kwani wewe kifo unakielewaje mbona unashangaza [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini nashangaza?
Unaweza kujenga hoja ya kimantiki inayoweza kupimwa kwenye truth table?
Safi kabisa sasa kilicho kufanya ukanushe ya kuwa Imani si tamko la asili ya Kiarabu ni nini ? Bila shaka ni ujinga wako wa kujadili mambo usiyo yajua.Kwani mimi nimekuuliza "tamko imani ni nini" au nimekuuliza imani ni nini?
Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?
Ndiyo nimekupa sasa maana oana ya utendaji wa Mola.Mimi sitaki kujua ya ibilisi, nilikua nawaumbusha tu watu ambao walikua wanafikiri shida zinawapata walio mdhihaka tu Mungu kua hata huyo Mungu alishapata shida hapo mwanzo
Tuandikie hapa na utupe maana ambayo ni tofauti.Sio la kiarabu tu, hebrew wanalitumia hilo na lina maana tofauti na hiyo unayoijua wewe
Mimi nakuuliza dhana inayopita lugha, wewe unajibu neno la lugha moja.Safi kabisa sasa kilicho kufanya ukanushe ya kuwa Imani si tamko la asili ya Kiarabu ni nini ? Bila shaka ni ujinga wako wa kujadili mambo usiyo yajua.
Nimekupa kazi sasa onyesha ya kuwa asili ya tamko Imani si Kiarabu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao viumbe wake anaowapenda wanakufa, wakati wao wanapenda kuishi, ni contradiction.unaposema kama mungu angekuwepo asinge kufa mtu. Ndio nakuuliza hiki kifo wewe unakielewaje?
Hawa watu wanihisi kifo ni matakwa ya mungu[emoji1787][emoji2962][emoji2962] hivi wanajua kuwa maisha ya viumbe yapo kwasababu seli hai zinafanya kazi . Tukimueleza kuwa kuna cancer cell haziwaji kufa(seli zenye kansa kutoka kwa mwanamke henrietta lacks a.k.a hela cells) sasa atasema nani anaamua kifo mungu au just biological processes [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao viumbe wake anaowapenda wanakufa, wakati wao wanapenda kuishi, ni contradiction.
Unaelewa hilo?
Unaelewa contradiction ni nini?
Kwani wanakubali hata kwamba seli zipo?Hawa watu wanihisi kifo ni matakwa ya mungu[emoji1787][emoji2962][emoji2962] hivi wanajua kuwa maisha ya viumbe yapo kwasababu seli hai zinafanya kazi . Tukimueleza kuwa kuna cancer cell haziwaji kufa(seli zenye kansa kutoka kwa mwanamke henrietta lacks a.k.a hela cells) sasa atasema nani anaamua kifo mungu au just biological processes [emoji1787][emoji1787][emoji1787]