Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

mchawi mtu
 
Hili ni dua la kuku tu. Chui kanyeeshewa na mvua usimchanganye na paka mkuu! Zaidi ya yote soko a ajira ni finyu na sina uhakika kama wewe ndiyo ulikuwa muombaji pekee wa hiyo ajira. Think big brother.
 
Ajira nyingi wanahitaji mtu mwenye degree, jitahidi upate degree kwanza.
Alafu hakuna sehemu nimeomba nisaidiwe ni muendelezo wa ujinga, hujui lolote kuhusu mimi.
Ukisikia mtu Ana diploma unadhani hawezi kuwa na degree usichojua Mimi chuo nimemaliza 2007.

Na 2010 nilisoma tena diploma ya ICT.


Wewe ulifunga PM sasa umeifungua kiko wap
 
Hapo ndio ukute ulikuwa una vitoto vidogo vinasoma english medium vimashavu vimenona kama mimba ya panya. Mara ghafla mambo yamebadilika.
 
Kuna limoja la DFP lilinigonga Tarangire Kwa nyuma na hardtop yake; kiko wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…