Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4.

Wananguvu speed,wepesi,control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.

Hao wabrazili ni nguvu ya soda tu, subiri mwaka uishe utana watakavyotepeteana
 
Back
Top Bottom