Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4.

Wananguvu speed,wepesi,control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.

Hao wabrazili ni nguvu ya soda tu, subiri mwaka uishe utana watakavyotepeteana
 
Yanga fanyeni biashara mapema moloko na lomalisa out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…