Uongooooooo Uongooooooo huoWachezaji wa kawaida sana
Hizo Tepsi Evance wa Azam anafanya mara 10 ya hao
Uongo ni nini? Kwamba Tepsi Evance wa Azam hana hizo skills au?Uongooooooo Uongooooooo huo
Kwahyo unataka kumfananisha tepsi na Dario!?Uongo ni nini? Kwamba Tepsi Evance wa Azam hana hizo skills au?
Huyo sema katoka nje tuuKwahyo unataka kumfananisha tepsi na Dario!?
Duuh, hujui ball weweUongo ni nini? Kwamba Tepsi Evance wa Azam hana hizo skills au?
Unashida kidgo wewHiyo sema kayoka nje tuu
Bro pole sanaMie nishindane na wewe?
Waota sana
Wabongo kwa shobo utawaweza kuna feisal pale yanga kama hawamuoni wao kila siku mayele striker anavizia kama anacheza chandimu vile.Wachezaji wa kawaida sana
Hizo Tepsi Evance wa Azam anafanya mara 10 ya hao
Dogo ana kipaji kikubwa lakini nashangaa huwa hachezi mara kwa mara....msimu uliopita alikuwa anaingia dk za mwisho game kuisha na unaona kabisa anabadilisha mchezo....akili za kiafrika ni shida sana,Ulaya vijana wenye talent hupewa nafasi mara kwa mara lakini sio huku...hata ile mechi na zesco juzi dogo alikiwasha sana..msomali amtumie sasa msimu huu.
Mwangalieni a raw and pure talent, achaneni na magalasa yaliyojichokea
Kumbe we umeona chenga tu,hujaona kasi ya kupeleka mashambulizi,hujaona penetration pass za uhakika,hujaona uwezo wa kuhamisha mpira upande mwingine wa uwanja(ambacho wa bongo wengi awawezi,mara kibao mpira huchezwa upande mmoja),hujaona eye contact na wenzake mtu akiwa uwanjani..ILA UMEONA CHENGA TU ..Hivi unafikiri kip humbeba mo Salah?Moja ya ushamba wetu ni kutojua nini Mchezaji anatakiwa kufanya uwnajani, tukidhani chenga na danadana ndio uwezo
Mchezaji kama Fraga Vieira alikuwa imara sana kama defensive/holding midfielder , wasiojua mpira wakawa wanasema Mbrazil gani hapigi chenga πππ, hawajui sio kila Mchezaji ana lazimika kupiga piga chenga. Ndio maana wapo Wabrazil kama Fernandinho au Casemiro wangekuwa Tanzania wangetukanwa maana hawana mbwembwe
Uongooooooo Uongooooooo huo