John, nimekukataza mara nyingi kuandika nonsenses! Lowasa hajawahi nunua CDM, stop this nonsense waachie wengine waseme hivyo. Hawa watu wangelikuwa wanajielewa wakaanzisha chama, mtawafuata maana wanaomunga mkono ndani ya CCM ni kiduchu usivyofikiria.Hao wote ukiwajumlisha hawaifikii nguvu ya Lowassa wa 2015 aliyeinunua Chadema!
Kwa sheria tulizonazo, polisi, TISS, NEC Takukuru hata wakiqnzisha hakitadumu na wataibiwa kura tu
Nyie watu rahisi sana kuchezewa.Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBE
Nani huwa anaiba kura?Kwa sheria tulizonazo, polisi, TISS, NEC Takukuru hata wakiqnzisha hakitadumu na wataibiwa kura tu
Nilitegemea uandike the political real situation prevailing in Tanzania! Uwe objective! Sana sana umetoa andiko lako on partisan lines. You are not objective... mahaba ya CCM yanakugharimu! achana na ya Slaa, sasa yuko CCM amelete tunu gani! Taja!Moja. Unaonekana unaiunderestimate sana CCM na hiyo Ni dalili tosha huijui.
Mbili. Unataabika sana. Nahisi wewe Ni CHadema au Act. Sasa badala ya kutangaza chama chako wewe uko na mahaba mazito sio tu Kwa wanachama wa CCM Lakini pia watu ambao sio 🧼.
Tatu. Nikuulize ... unataka nini maishani mwako. Compare. Contrast tawala zote. Kama ni MTZ. Do you really know what do the Tanzanians need )(not want). Want inaweza kuwa kwa makapupu and confused minds kama wewe. At the end of the day change for them is more about others than about they themselves.
Nne my dear. Simama na watu wako. Dr Slaa alikuwa tunu Lakini kwa kuwa hamjui what People needed at that time mkakimbilia kwenye wants zenu kwa principle ya the end justifies the means. Hamjajifunza. Subirini mkija gundua it would be too late. And as usual mtakimbilia kwenye Chaka la kuibiwa.
Lazima CCM igawanyike, and by that it becomes weak! Nimesema CCM itakuwa taabani na hivyo kuondoka madarakani! take my point!Yaani kuna wakati vijana wanawaza mpka wanazungumza vitu ambavyo hata kwao ni hasara
hao wakianzisha chama
Chadema chali
Ccm chali
Act chali
Wao wanakuwa na nguvu kama wapinzani kumbe ndio walio tufikisha katika nyakat hizi ngumu
ana ushawishi lakini ujue!