Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBE
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee chinua bana !
 
HAPO NAONA UMETUELIMISHA UMMA KUWAJUA WALIOIHARIBIA CCM KWA WANANCHI.

CCM kama chama kina wafuasi zaidi ya milioni nane nchini.

Hiyo orodha yako ni ya wale waliokuwa wakitumia fedha na mitandao ya rushwa kukiharibu chama.

Isipokuwa NAPE ambaye ujana na mapenzi ya mjini yalimponza.

Lakini pia huu ni muendelezo wa Dua la mwewe ambalo mnaiombea CCM ipate mgogoro ili mpate nafasi ya kupata wafuasi.

Ila it is too late,hao wote kwa hii CCM mpya ya Bashiru,
Hao ni out of order.

#viva JPM 2020 = 2025 [emoji1241][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Lowasa alileta wabunge over 100! Unadhani hayo siyo mafanikio? Na kura zake ziliibiwa, Lowasa would be a president today had it not been for the rigging of the votes!
Hao wabunge leo wapo wapi? Mnachezewa akili mmebaki kukenua km mazuzu 😬😬😬
 
Hakuna sehemu imejaa rushwa kama ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii mpende msipende lazima tume huru inaanzishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si tu kuingia Ikulu, mission hapa ni kuiondoa ccm kwanza, (mengine yatafuata), kwa namna yeyote ile, ccm ndio chanzo cha matatizo ya nchi hii, ndio donda ambalo ni lazima kulikatia kwa chini, watu waliposema wako tayari kumsimamisha hata shetani kugombea, ikigundulika anaweza kutuwezesha kuliondoa hili donda linaloitwa ccm hamkuwaelewa vema, mngejisumbua hata kidogo tu kujiuliza maswali mngeelewa, ccm ni kansa
 
Mwana CCM yoyote hana uwezo wa kufanya siasa nje ya CCM. Mana bila ya polisi na TISS ni weupee
 
yote ulyoyasema yanawezekana! Hata KANU ilikuwa na nguvu za polisi kama hapa. External influence inaweza kuyaleta hayo yote!
 
waanzishe chama lao.safari hii wakija upinzani wanakuwa tu wanachama wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…