Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahio wivu tu ndo husababisha chuki yote hiyo? Au watusi kweli ni tishio wana kitu cha ziada chenye kuleta tofauti baina yao na wabantu hasa kwa congo, ug burundi na tz?
 
Magufuli alikuwa mkimbizi na sasa tuna naibu waziri mkuu mkimbizi. Kagame anatucheka tu
 
Mimi nauliza, huyo mkimbizi kapewa uraia halafu ndiyo kapewa wadhifa? Au kapewa wadhifa bila kupewa uraia, akiwa mkimbizi tu?

Kwa sababu, kama kapewa uraia, kwa nini anabaguliwa kwa kuitwa mkimbizi wakati alishapewa uraia?

Na kama hajapewa uraia, inakuwaje apewe wadhifa bila ya kuwa raia?
 
Yupo kwenye nafasi gani ya maamuzi serikalini? Isome kwa makini speech ya cdf kabla ya kukurupuka mithili ya kunguni aliyefumaniwa! Hovyo kabisa chawa wewe mwenye cv!
Na yeye anataka kuongoza nchi, hatutaki mtu wa isibania huko, aende kwao kenya
 
Si ndio hapo Sasa, CDF badala ya kuchukua hatua analeta mafumbo. Usishangae kaona hilo agizo la kwenye uchaguzi ndio la maana ili adhibiti wapinzani maana itamuhakikishia kupata ujumbe wa bodi akistaafu.
 
Kwahio wivu tu ndo husababisha chuki yote hiyo? Au watusi kweli ni tishio wana kitu cha ziada chenye kuleta tofauti baina yao na wabantu hasa kwa congo, ug burundi na tz?
Watusi sio tishio lolote tena hata waliweza kufukuza Waarabu wakamata Watumwa kutoka Zanzibar.

Leo hii ilitakiwa kuwashukuru Wafalme wa Kitutsi kwa kuzuia Raia wa Maziwa Makuu waliswagwe na kupelekwa kuuzwa huko Zanzibar.
 
Kwakweli ufafanuzi zaidiunatakiwa kutolewa na Wizara husika ya Mambo ya Ndani kuliko kuwaachia jawa Wanajeshi.
 
Mwaka 2014 serikali ya Tanzania iliwapa uraia wakimbizi 200,000 . Wengi wao wakiwa wa kutoka Burundi.

Huo ni mkupuo wa mwaka mmoja tu, na wakimbizi wanapata uraia kila mwaka.

Hawa nao hawastahili kuongoza chochote Tanzania?

 
Kama huyu nae analalamika bila kuchukua ACTION , nani atatuokoa na hao wakimbizi?
 
Hebu angalia hata kule South Afrika Xenophobia yao ni kwa Waafrika wenzao tena wanawaua kikatili sana lakini kuna raia kibao kutoka Bulgaria Poland Romania Latvia Ukraine wanaishi na kupiga kazi lakini huoni Mbantu akithubutu kwenda kuwavisha matairi ili awachome moto.

Ukienda Kongo Wazungu Wachina Waarabu Wabulushi Wahindi wanavuna mali lakini Mtutsi akionekana anapigwa kama Paka mwizi.😣
 
Naona Karia umekuja kujitetea. Haya twambie, chimbuko la babu Yako ni wapi?. Alisoma wapi shule ya msingi?
Wambulu walisomesha watoto, wazee wao enzi hizo hawakusoma hata darasa moja. Uliza Karia kasoma wapi achana na babu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…