inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Katibu mkuu wa CCM anayo hiyo nguvu!?Mtu wa kwanza kubana mbavu ni Bashiru atweleze aliwaingiza watusi wangapi TISS kipindi cha MA GU FOOL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu mkuu wa CCM anayo hiyo nguvu!?Mtu wa kwanza kubana mbavu ni Bashiru atweleze aliwaingiza watusi wangapi TISS kipindi cha MA GU FOOL
sasa kama bibi yenu mwenyewe wajomba zake ni waOman, sembuse waswahili wenzetu jamani? hadi alienda siku ile kusalimia wajomba zake. tena alienda kwa kodi zenu.Yule bibi kwao ni Oman
Gig money huyu hyu muhuni malaya aliyetoa video HV majus ya ngono au yupiMkimbizi ni Giggy Money mwenyewe katoka hapo Zanzibar ila ni raia wa Oman na hata hivi punde alienda kuwasalimu wajomba zake Oman akawagawia na Ngorongoro. Swali jingine ?
Tokaa uko acha kijidanganyaWapo kibao tu
Jose Kabila
Mu7
Nyusi phili
Prime minister wa England (mwarabu)
Wapo kibao tu
Ni nyie tu wabongo ndo mna nongwa na wenzenu
Kigwa babaake mrundi,mama mnyamweziKigwa msouth sudan 🐼
Watusi siyo wabantuHivi kwanini watutsi hubaguliwa sana na wabantu wenzao? Shida huwaga nini?
Watu wote wanaoshukiwa Uraia wao Kwa kuwa Wana Asili ya Nchi jirani wanatakiwa kuthibitisha jinsi waliupata huo Uraia wa Tanzania kuanzia Naibu PM Hadi Watumishi wa Umma.Asalaam aleykum wana Jf.
Leo Mkuu wa Majeshi, General Mkunda amegusia kuwa kuna baadhi ya wakimbizi wameshikilia nafasi nyeti serikalini kulingana na taarifa za kiintelijensia.
Sasa lengo la uzi huu ni kuwarahisishia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili kuwabaini wakimbizi wote ambao wameteuliwa kwenye nafasi za maamuzi.
Hii itasaidia kudumisha ulinzi na usalama wa Taifa letu kwani ni hatari sana kukabidhi nafasi nyeti kwa wageni/wakimbizi kwa sababu kuna wale ambao hata kama wameishi miaka 1000 sehemu nyingine, huendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao la asili. Mfano hai ni Mh. PK, Rais wa nchi mojawapo jirani, ambaye ni kama tu alizaliwa na kukulia Uganda, lakini bado kilichotokea wote tunakifahamu.
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba huyu Mh. PK alishikilia nafasi nyeti sana katika nchi ya Uganda ikiwemo Mkuu wa kitengo cha Intelijensia Jeshini, lakini bado tu roho yake na akili yake ilikuwa katika nchi yake ya asili!
Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 2879699
Waafrika kuungana kwa maslahi ya waafrika,anza kumsomesha pk kwanzaMimi nimejaribu sana kufuatilia sababu za chuki dhidi ya Watutsi wanachosema ni kuwa ati "wanaringa" 🤣😂
Lakini nimejiapiza kufanyanya research deep halafu nije nifungue uzi maalumu.
Dunia ya leo Waafrika tunatakiwa tuungane ili tupambane na Maadui wa Waafrika.
Watutsi na Wahutu ni Watu muhimu sana kwenye Bara hili la Afrika.
hapana mkuu sio huyo, namaanisha Giggy Money mwenyewe kubwa la maadui, mama matashtiti.Gig money huyu hyu muhuni malaya aliyetoa video HV majus ya ngono au yupi
Acha waongoze kama wana sifa lzm watuongoze.Asnte mzalendo kwa kuwataja ili tuwe .makini wasije kuongoza nnchi siku moja
Karia ni mwiraqw full, wacha fitina.Wasimsahau Bashe na Karia
Kigwa babaake mrundi,mama mnyamwezi
KingwaZanziba na nchi gani ziliungana kweli
Au ndo... au basi bhana
sio kwamba babake ni msomali, mamake mchaga? na sioni shida kwamba na yeye atakuwa mkimbizi. amezaliwa bongo, amesoma bongo, amefanya kazi bongo, hadi amegombea urais wa TFF. hao nao tuwaite wakimbizi?Karia ni mwiraqw full, wacha fitina.
We urudi kwenu Rwanda, atutaki wakimbiziMimi ni mtanzania halisi, vizazi na vizazi. lakini wakati mwingine ninaamini hii dunia sio ya mtu mmoja, ni ya wote, hata Tanzania sio ya kwako peke yako ni ya wote, ni wakoloni tu walitutenganisha hasa sisi waafrika. sasa mtu kama mkimbizi aliyekimbia Rwanda au Burundi miaka ya 60, amekuja hapa akiwa mtu mzima, amezaa watoto, na watoto wamezaa watoto. wamesoma hapa, wamekulia kila kitu hapa, hawajui kwengine kwa kwenda ila hapa, mnataka waende wapi? warudi Rwanda, Burundi au Congo ambako hawajawahi hata kufika na hata wakienda wanafikia hotelini? wangekuwa wanawajua ndugu zao huko labda, au kama wanazipenda hizo nchi labda, ila huko kwenye asili yao hawakujui, hawajawahi kwenda, wengine hata baba zao hawajawahi kwenda, mnataka wafanye nini? wamekua wakijua hapa ndio kwao hawana kwao kwengine wanakokujua, na wamepapenda.
watusi kwa mfano, walianza kukimbilia Tanzania hata kabla ya uhuru kwenye first Hutu Revolution ya mwaka 1952 ambapo wahutu wali rise up against tutsi ambao ndio walikuwa kabila la kifalme Rwanda, kwasababu hiyo watusi wengi sana walikimbilia congo (ndio wale banyamulenge), na wengi walikimbilia Tanzania. ukienda mikoa kama ya kigoma, Tabora, Mwanza hadi Rukwa, kuna watu wenye sura za kitusi kabisa ila babu zao walikuja hapa kabla ya uhuru wa Tanzania, na wameishi wakibaguliwa tangu miaka hiyo hadi leo. mnataka waende wapi? nchi yenyewe hii ya Tanzania mnaishi mnakufa na kuiacha hapahapa, mtu kama haleti madhara, mwacheni. Kina Obama hao mbona baba zao ni wakenya ila wamekuwa marais wa Marekani? mnachotakiwa kufanya ni kuweka vizuri mifumo ya intelijensia ili mtu awe na asili ya moja kwa moja ya hapa Tanzania au la, asilete madhara, kwasababu hakuna guarantee kwamba hao mnaowaona kama ni asili ya wakimbizi ndio wataidhuru nchi, kuna uwezekano threat kubwa ikatoka miongoni mwetu sisi wenyewe tunaojiita wazalendo. dunia hii mmeikuta na mtaiacha, hamjaiumba kwanza ni mali ya Mungu hapa ametuweka kama mifugo tu tuishi, achaeni ubinafsi na ubaguzi.
Mimi nimejaribu sana kufuatilia sababu za chuki dhidi ya Watutsi wanachosema ni kuwa ati "wanaringa" 🤣😂
Lakini nimejiapiza kufanyanya research deep halafu nije nifungue uzi maalumu.
Dunia ya leo Waafrika tunatakiwa tuungane ili tupambane na Maadui wa Waafrika.
Watutsi na Wahutu ni Watu muhimu sana kwenye Bara hili la Afrika.