Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asalaam aleykum wana Jf.
Leo Mkuu wa Majeshi, General Mkunda amegusia kuwa kuna baadhi ya wakimbizi wameshikilia nafasi nyeti serikalini kulingana na taarifa za kiintelijensia.
Sasa lengo la uzi huu ni kuwarahisishia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili kuwabaini wakimbizi wote ambao wameteuliwa kwenye nafasi za maamuzi.

Hii itasaidia kudumisha ulinzi na usalama wa Taifa letu kwani ni hatari sana kukabidhi nafasi nyeti kwa wageni/wakimbizi kwa sababu kuna wale ambao hata kama wameishi miaka 1000 sehemu nyingine, huendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao la asili. Mfano hai ni Mh. PK, Rais wa nchi mojawapo jirani, ambaye ni kama tu alizaliwa na kukulia Uganda, lakini bado kilichotokea wote tunakifahamu.

Kwa wasiofahamu tu ni kwamba huyu Mh. PK alishikilia nafasi nyeti sana katika nchi ya Uganda ikiwemo Mkuu wa kitengo cha Intelijensia Jeshini, lakini bado tu roho yake na akili yake ilikuwa katika nchi yake ya asili!

Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.

Naomba kuwasilisha.

View attachment 2879699
Nchi imekua ya hivyo hamna verification ya urai kunazia kwemye nida
 
Sio Maghayo kweli? Ni hatari mzee babaa
 
Mimi ni mtanzania halisi, vizazi na vizazi. lakini wakati mwingine ninaamini hii dunia sio ya mtu mmoja, ni ya wote, hata Tanzania sio ya kwako peke yako ni ya wote, ni wakoloni tu walitutenganisha hasa sisi waafrika. sasa mtu kama mkimbizi aliyekimbia Rwanda au Burundi miaka ya 60, amekuja hapa akiwa mtu mzima, amezaa watoto, na watoto wamezaa watoto. wamesoma hapa, wamekulia kila kitu hapa, hawajui kwengine kwa kwenda ila hapa, mnataka waende wapi? warudi Rwanda, Burundi au Congo ambako hawajawahi hata kufika na hata wakienda wanafikia hotelini? wangekuwa wanawajua ndugu zao huko labda, au kama wanazipenda hizo nchi labda, ila huko kwenye asili yao hawakujui, hawajawahi kwenda, wengine hata baba zao hawajawahi kwenda, mnataka wafanye nini? wamekua wakijua hapa ndio kwao hawana kwao kwengine wanakokujua, na wamepapenda.

watusi kwa mfano, walianza kukimbilia Tanzania hata kabla ya uhuru kwenye first Hutu Revolution ya mwaka 1952 ambapo wahutu wali rise up against tutsi ambao ndio walikuwa kabila la kifalme Rwanda, kwasababu hiyo watusi wengi sana walikimbilia congo (ndio wale banyamulenge), na wengi walikimbilia Tanzania. ukienda mikoa kama ya kigoma, Tabora, Mwanza hadi Rukwa, kuna watu wenye sura za kitusi kabisa ila babu zao walikuja hapa kabla ya uhuru wa Tanzania, na wameishi wakibaguliwa tangu miaka hiyo hadi leo. mnataka waende wapi? nchi yenyewe hii ya Tanzania mnaishi mnakufa na kuiacha hapahapa, mtu kama haleti madhara, mwacheni. Kina Obama hao mbona baba zao ni wakenya ila wamekuwa marais wa Marekani? mnachotakiwa kufanya ni kuweka vizuri mifumo ya intelijensia ili mtu awe na asili ya moja kwa moja ya hapa Tanzania au la, asilete madhara, kwasababu hakuna guarantee kwamba hao mnaowaona kama ni asili ya wakimbizi ndio wataidhuru nchi, kuna uwezekano threat kubwa ikatoka miongoni mwetu sisi wenyewe tunaojiita wazalendo. dunia hii mmeikuta na mtaiacha, hamjaiumba kwanza ni mali ya Mungu hapa ametuweka kama mifugo tu tuishi, achaeni ubinafsi na ubaguzi.
Utakuwa mhutu wewe jiandae kurudi kwenu Burundi
 
Itakuwa miungoni mwao na wewe sio bure [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli Mkuu, kwenye ofisi zetu za umma kuna watu wana roho mbaya hujapata kuona!
Ukifuatilia uraia wao, wengi una mashaka.
Watanzania/Watanganyika wengi ni wakarimu na wana roho ya upendo.
Kamisa Mkuu

Nunalishukuru sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania

Intelligence iliyo TUKUKA

...najiuliza tu mafagio?
 
Nafikiri Hili zengwe limeanzia wizara ya ulinzi pale wale mawaziri wanaopita hivi karibuni uraia wao utakuwa na utata👣.....

Kwa mwendo wa nchi 2025 jeshi inawezekana kuna jambo la tofauti au wanataka Kiongozi wa tofauti.

Nb: nafikiri jeshi wanataarifa nyingi za kiusalama zinazohusisha viongozi na biashara haramu.

Yawezekana Huo n ujumbe kuwa hatuna raisi madhubuti kwa sasa na wao wako tayari 😂😂😂😂
 
Obama mkenya lkn ni moja kati ya maraisi bora marekani.
Screenshot_20230324-091126.png
 
mi nafikiri hilo ni bomu kwa kina biteko na wengineo wakileta fyoko kipindi cha uchaguzi wanang'olewa chap ila sizan kama seriuz issue
 
Back
Top Bottom