Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuanza na Upendo Peneza ni Mnyarwanda,pale Geita kuna wanyarwanda wengi sana,serekali kama wako serious waanze na ule mkoa,unafanya kazi na mdada pale GGM ghafla unashangaa unachangishwa mchango wa Harusi anaolewa Kigali kisha unaambiwa ni Mnyarwanda....waanze na Upendo Peneza na kaka yake Baraka
Salute Mkuu

Ukiunganisha dot UNAPATA KITU KIZIMA

hata kuvutwa Lumumba ni bridge ya UVIRA
 
Paul Kagame single handedly alikomaesha mauaji dhidi ya Wanyarwanda huku sisi majirani tukiwa tunaenda Rusumo kuangalia maiti za Wanawake Watoto zikipita pale Darajani.

Waafrika tunatakiwa tuungane kiroho safi na sio kinafiki.
Alilipua ndege ya Marais,alimuua rwigema,anafanya vurugu Congo,aliua wahutu kwa halaiki kule congo
 
Cha kushangaza hapa siwasikii wajaluo, wamasai, na watu wa kusini. Kwanini always Kigoma na Kagera. Kuna Siri gani. Kwanini mnawaogopa the so called wahamiaji haramu wa mkoa wa kigoma na Kagera na si wa mara, Arusha, Ruvuma au Mtwara.
Lakini hili linapaswa kua jambo la kutekelezwa huko baada ya kuwagundua mamluki walio jiingiza kwenye mfumo sio kuja kutuambia sisi walala hoi tutafanya nini 🤔🤔

ukienda kigoma asilimia kama 70 ya wanao jiita waha ni warundi na wanyarwanda lakini pia hapo hapo kuna wakongo wengi wame jazana na wote hao wanajiita watanzania ukienda kagera nako hivyo hivyo pia wageni wengi Sana wamejaa kule

kama wanataka kutibu hilo tatizo waanze kuwazuia huku uraiani kabla hawajafika huko juu, huo ni uzembe mkubwa Sana kwa vyombo vya ulinzi na usalama
 
Cha kushangaza hapa siwasikii wajaluo, wamasai, na watu wa kusini. Kwanini always Kigoma na Kagera. Kuna Siri gani. Kwanini mnawaogopa the so called wahamiaji haramu wa mkoa wa kigoma na Kagera na si wa mara, Arusha, Ruvuma au Mtwara.
No more ni ukaririfu tu - ni Zito pekee alowahi kupigania maslahi ya wanakigoma kwa nguvu lkn kasumba hii bado imejaa vichwani mwa wahitimu
 
Jeshi linakuwa halihusishwi kwenye michakato, na hata wakiwepo huwa ni washiriki tu, Ila wana utaratibu wao wa kufuatilia.

Hiyo taarifa ni matokeo ya kazi wanazofanya, na hapo CDF kapewa go ahead aisome hadharani kutoa alert call kwa kwa watu fulani kuwa wajiandae. Maana wameshabebwa lakini hawabebeki wanajiona wana maguvu mengi sana

Tume ya uchaguzi, Wakurugenzi na TISS wapo tayari kukata jina la mgombea kwa kisingizio cha herufi kukosewa lakini kamwe si kwa kuangalia jambo kubwa kama la Uraia.
Nani huyo uraia wake unadosari mkuu?
 
Back
Top Bottom