Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Salute Mkuu

Ukiunganisha dot UNAPATA KITU KIZIMA

hata kuvutwa Lumumba ni bridge ya UVIRA
 
Paul Kagame single handedly alikomaesha mauaji dhidi ya Wanyarwanda huku sisi majirani tukiwa tunaenda Rusumo kuangalia maiti za Wanawake Watoto zikipita pale Darajani.

Waafrika tunatakiwa tuungane kiroho safi na sio kinafiki.
Alilipua ndege ya Marais,alimuua rwigema,anafanya vurugu Congo,aliua wahutu kwa halaiki kule congo
 
Cha kushangaza hapa siwasikii wajaluo, wamasai, na watu wa kusini. Kwanini always Kigoma na Kagera. Kuna Siri gani. Kwanini mnawaogopa the so called wahamiaji haramu wa mkoa wa kigoma na Kagera na si wa mara, Arusha, Ruvuma au Mtwara.
 
No more ni ukaririfu tu - ni Zito pekee alowahi kupigania maslahi ya wanakigoma kwa nguvu lkn kasumba hii bado imejaa vichwani mwa wahitimu
 
Nani huyo uraia wake unadosari mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…