Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkimbizi ni Giggy Money mwenyewe katoka hapo Zanzibar ila ni raia wa Oman na hata hivi punde alienda kuwasalimu wajomba zake Oman akawagawia na Ngorongoro. Swali jingine ?
Gig money huyu hyu muhuni malaya aliyetoa video HV majus ya ngono au yupi
 
Wapo kibao tu
Jose Kabila
Mu7
Nyusi phili
Prime minister wa England (mwarabu)
Wapo kibao tu
Ni nyie tu wabongo ndo mna nongwa na wenzenu
Tokaa uko acha kijidanganya

Nyusi Ni mmakonde ila siyo mtazaniaa Tanzania hatuwezi kuweka pandikizi ktk serkali yoyote

Na mseveni n pure mtustsi Ni vile alikuja kusoma hapa tz chuo Cha ushirika
 
Watu wote wanaoshukiwa Uraia wao Kwa kuwa Wana Asili ya Nchi jirani wanatakiwa kuthibitisha jinsi waliupata huo Uraia wa Tanzania kuanzia Naibu PM Hadi Watumishi wa Umma.
 
Waafrika kuungana kwa maslahi ya waafrika,anza kumsomesha pk kwanza
 
Asnte mzalendo kwa kuwataja ili tuwe .makini wasije kuongoza nnchi siku moja
Acha waongoze kama wana sifa lzm watuongoze.
Imagine obama mkenya lkn ni moja kati ya maraisi bora marekani.
Tafuta sifa, nafasi zinakufata mwenye nguvu atatawala always regardless ya uraia
UK wanaongozwa na mhindi
Ukraine rais ni myahudi
Argentina rais ni myahudi

Uraia sio kigezo, kitu kibaya ni awe jasusi
Kama sio jasusi hakuna hatari yoyote kikubwa afanye kwa ufanisi
 
We urudi kwenu Rwanda, atutaki wakimbizi
 

hawabaguliwi bali watanzagiza wana inferiority complex kwa wanyrwanda, mfano ukienda hata hapo kenya watu hata hawana habari na sijui tusi hutu ni tanzagiza tu ndiyo watu wana inferiority complex kwa wanyarwanda, wanaume wa tanzagiza wote huota kwenda kuoa huko hilo peke yake linakwambia kila kitu, ukiwa na infereority complex utatawaliwa tu …
 
Mkimbizi alichukua uraia wa Tanzania au kateuliwa akiwa Mkimbizi bila kuchukua uraia?

Maana mtu anaweza kuwa mkimbizi, akachukua uraia wa Tanzania. Tanzania imetoa uraia kwa malaki ya wakimbizi.

Mwaka 2014 Tanzania ilitangazwa kuwapa uraia wakimbizi 162,000 wa Burundi kwa mkupuo.

Idadi ya watu waliopeea uraia ilifikia 200,000, rekodi ambayo haijawahi kutokea mpaka muda huo kwa mujibu wa shirika la wakimbizi wa Umoja wa Mataifa UNHCR.

Huo mkupuo mmoja tu wa mwaka 2014 tumetoa uraia kwa wakimbizi 200,000.

Sasa wote hao wanyimwe nafasi za kuongoza hata kama wananuwezo kwa sababu wakipata uraia wakiwa wakimbizi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…