Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

Nyie ndio mnaonaga wanaume wanaolia machozi ni viumbe weak....mkuu badilika it's OK mwanaume kulia, wote tunaumizwa
Et mwanaume hapaswi kulia 🤔
Mtu ana minywa nyumbani kama kobe hana sauti
Na bado huku JF nako anakatazwa kulia jamani heh

Cha kufanya hapo mtoa mada ukiona uzi wa namna hiyo we scroll tu achana nao
 
Jirani, naomba nisiongeze neno nisije nikaharibu...🤗
 
Mbona umetufokea sana! Kwani tumekukosea nini! 😊
 
Hata kama tunatumia ID's fake ila haibadilishi uhalisia wa mtu husika,

Hao wanao lialia kwa minor issue hapa JF ni wavulana sio wanaume,
Mwanaume ni mtu wa maamuzi,hawezi kuanzisha uzi kuomba ushauri kwa minor issue,

Posting relationship problems on social media,invites unsolicited opinions,
causes unnecessary drama,and breaches privacy,creating,rather than solving conflict,

Keep relationship issues private for a healthier,more secure and respected bond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…