Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

Hizo ni dalili za mwanzo kabisa za kuwa papai, nimeona vijana wengu wanaolia lia mwisho wa siku wa karusha taulo
Bwashee unajua haya matatizo madogo madogo wanayo yapata ndani ya ndoa,ni kwasababu ule uanaume unapotea hasa kwa hiki kizazi,mwanaume akisimama kiume ndani ya ''Territory'' anayoiongoza,basi hayo matatizo madogo hayawezi kutokea,it's all about leadership.
 
Hii ni kweli kabisa , japo mimi binafsi bado sijaona umuhimu wa ndoa kwangu bwashee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mahiii.
 
Ujifunze kuvumilia kusikia na kuona usivyovienda na hyo ndio unakua mkomavu, vinginevyo na wewe hapa unalia lia tu Kama hao jamaa
 
Mwanaume anayelizwa na mapenzi ni Yule asiyejua thamani yake. Na wengi huchukua wanawake waliochuja. Ni wanaume walioyajulia mapenzi ukubwani na hawakufunzwa.

Ni Sawa na mshamba anayelizwa simu feki kariakoo. Asiyejua simu
 
Wanawake waliochuja ndio wakoje? Na hao ambao hawajachuja hawakulizi? Mimi siamini maneno ya kuambiwa.. mnajitia ugumu nyuma ya keyboard ila ukweli mnaujua nyie wenyewe bwana!
 
Wanawake waliochuja ndio wakoje? Na hao ambao hawajachuja hawakulizi? Mimi siamini maneno ya kuambiwa.. mnajitia ugumu nyuma ya keyboard ila ukweli mnaujua nyie wenyewe bwana!

Ukishakuwa mtu mzima na kijana wako wa kiume akianza kukuletea wakamwana utajua mwanamke aliyechuja ni yupi. Ila kwa umri wako inaweza kuwa ngumu.

Narudia ni wanaume washamba na waliopata vitu vilivyochuja ndio huumizwa na mapenzi

Inaitwa Ganda la mua la Jana chungu kaona kivuno.
 
Ukishakuwa mtu mzima na kijana wako wa kiume akianza kukuletea wakamwana utajua mwanamke aliyechuja ni yupi. Ila kwa umri wako inaweza kuwa ngumu.
Duhh u seems to be so perfect! Mungu akutetee
Narudia ni wanaume washamba na waliopata vitu vilivyochuja ndio huumizwa na mapenzi
Washamba kwa maana ipi!?
Inaitwa Ganda la mua la Jana chungu kaona kivuno.
πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…