Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Duhh u seems to be so perfect! Mungu akutetee
Washamba kwa maana ipi!?
🤔🤔
Kuita binadamu wenzio `kachuja’Kwa hiyo kutomlilia mwanamke na mapenzi ndio kuonekana kuwa perfect?
DuhhWsshamba kwa maana ya Ganda la mua la Jana chungu kaona kivuno.
Unathaminisha mtu kwa kula kilicholiwa? Hii kampeni imeanza lini?Huwezi Lilia kitu ambacho wenzako walikula wakasaza. Ni kiashiria thamani yako iko chini
Maisha yana ups and downs, keyboard warriors wanamaanisha hawapitii maisha hayo kama binadamu wengine!Ishu ya kulia/kutoa sauti inategemea mtu kakutwa na nini! 😁
Kuna mapigo mengine yanaweza kukupiga, ukaona bora ulie tuu upone!
Maisha yana ups and downs, keyboard warriors wanamaanisha hawapitii maisha hayo kama binadamu wengine!
Hahahaa eti wana mafanikio, kuna watu wanafurahisha ni vile tu unaona usiongee ukamuanika mtu!Ndio JF, watu wana wanakataa nature, watu wanataka kuonekana ni vidume, wana hela, wana mafanikio, ni wagumu, wapo perfect n.k.
Mental masturbation!Kuna kitu inaitwa "Social media illusion"
Kifuatilie, watu hawapo halisi kwenye hizi media.
Media ndio sehemu pekee ambayo unaweza admire mtu ambaye, ulipaswa muonea huruma au kumsaidia. 😁
Kuita binadamu wenzio `kachuja’
Means you’ll stay fresh forever!
Duhh
Unathaminisha mtu kwa kula kilicholiwa? Hii kampeni imeanza lini?
Kuita binadamu wenzio `kachuja’
Means you’ll stay fresh forever!
Duhh
Unathaminisha mtu kwa kula kilicholiwa? Hii kampeni imeanza lini?
Hapa unaongelea nature ipi?Ndio JF, watu wana wanakataa nature, watu wanataka kuonekana ni vidume, wana hela, wana mafanikio, ni wagumu, wapo perfect n.k.
Sio wote,wengine tunaongelea uhalisia,yani mwanaume akipishana kidogo tu na mkewe,anakimbilia mitandaoni kulia lia,hilo unaona ni sawa?Kuna kitu inaitwa "Social media illusion"
Kifuatilie, watu hawapo halisi kwenye hizi media.
Pia media hizo hizo unaweza kumuonea huruma mtu ambaye unatakiwa kumu admire.Media ndio sehemu pekee ambayo unaweza admire mtu ambaye, ulipaswa muonea huruma au kumsaidia. 😁
Hapa unaongelea nature ipi?
Sio wote,wengine tunaongelea uhalisia,yani mwanaume akipishana kidogo tu na mkewe,anakimbilia mitandaoni kulia lia,hilo unaona ni sawa?
Pia media hizo hizo unaweza kumuonea huruma mtu ambaye unatakiwa kumu admire.
Kuna vitu ni kawaida katika maisha ila unavyovitegenezea subtitle kama ni vya ajabu sana!Kwamba Siku nikichuja watu wasione na kusema?
Unakataa ukweli ama?
Ukichuja umechuja.
Sasa mimi nimechuja alafu nibabaishe watu, hao watu watakuwa na akili timamu kweli?
Sifa ya binadamu kuchuja ni mojawapo.
Ndio maana vijana wanaosumbuliwa na watu waliochuja watu wazima huwaona wamelogwa, hamnazo, hawajitambui
Kuna vitu ni kawaida katika maisha ila unavyovitegenezea subtitle kama ni vya ajabu sana!
Wanaume wa hivyo ni wale waliovuka stage ya mapenzi kwenye makuzi yao,Zamani ukilia watu wanajua unalilia kitu cha thamani.
Sasa kitu chenyewe ulikikuta kimechuja lazima watu washangae kulikoni
Wewe mwenye upeo nielezee maana mpaka umelileta hapa means unaelewa maana!Huo Msemo wa ganda la muwa la Jana chungu kaona kivuno tafuta mtu mzima au mwenye upeo akueleze unamaana gani
OkayMabinti wabichi enzi hizo wakifuatwa na mafataki walikuwa wakisema: " ujana wako ulikula na nani mpaka mimi nile uzee wako"
Kauli hiyo inalandana na kauli ya hapo juu. Kuchuja au ganda la muwa la Jana chungu kaona kivuno.
Duuh! Kwa mindet hii! Sipati majibu ya kukupa kijana mjanja!So mambo ya kujitilisha huruma hapa haina maana
Babaisha watu ukiwa mpya, unanguvu, upo kwenye nafasi lakini kama umechuja, hauna nguvu, haupo kwenye nafasi hao unaowababaisha ni wsshamba au ni chungu walioona kivuno kwenye Ganda la muwa lililotafunwa na kuisha utamu
Wanaume wa hivyo ni wale waliovuka stage ya mapenzi kwenye makuzi yao,
Mapenzi yamewakutia ukubwani,ndio maana wanakua wana deal nayo kwa akili ya kitoto.
Mtu kuwa na mabadiliko kiumri ni jambo la kushangaza sana kwako? Unakebehi wanawake wenye umri mkubwa kwa sababu zipi?Nipe mfano wa kitu kimoja ambacho ni chakawaida ila Mtibeli ninakifanya kiwe cha Ajabu. Kimoja tuu.
Wewe mwenye upeo nielezee maana mpaka umelileta hapa means unaelewa maana!
Okay
Duuh! Kwa mindet hii! Sipati majibu ya kukupa kijana mjanja!