The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkubwa aliwe na mkubwa mwenzake,Mtu kuwa na mabadiliko kiumri ni jambo la kushangaza sana kwako? Unakebehi wanawake wenye umri mkubwa kwa sababu zipi?
Mtu kuwa na mabadiliko kiumri ni jambo la kushangaza sana kwako? Unakebehi wanawake wenye umri mkubwa kwa sababu zipi?
Wala sio hivyo wengi wao nimewashtukia ni mapapai , chunguza kwa umakini mkubwa utapata jibuHahahaa eti wana mafanikio, kuna watu wanafurahisha ni vile tu unaona usiongee ukamuanika mtu!
Mental masturbation!
Mitandao inawapa watu ujasiri walioukosa mtaani! Aliyeumizwa na mapenzi mpaka akakaribia kujinyonga saa hizi anavimba nyuma ya simu kuona wanawake ni wapumbavu!
Mkubwa aliwe na mkubwa mwenzake,
Hizi issue za mishangazi kuliwa na vibenten,au wazee kutembea na vibinti vidogo,ni moja ya sababu ya vijana wa siku hizi kukosa heshima kwa watu wakubwa.
Kwani akiliwa na mdogo wake kuna uume wa mtu unapungua huko?Mkubwa aliwe na mkubwa mwenzake,
Hahhaa, heshima inapungua kumbe! Binafsi naona bora wazee kuliko vijana mtajua wenyewe huko😆Hizi issue za mishangazi kuliwa na vibenten,au wazee kutembea na vibinti vidogo,ni moja ya sababu ya vijana wa siku hizi kukosa heshima kwa watu wakubwa.
Kwani akiliwa na mdogo wake kuna uume wa mtu unapungua huko?
Hahhaa, heshima inapungua kumbe! Binafsi naona bora wazee kuliko vijana mtajua wenyewe huko😆
Kwahiyo mtu kuchuja anachujaje umri haujasonga? Au unajuaje huyu kachuja bila kumtizama muonekano wa nje?Wapi nimekebehi mwanamke mwenye umri Mkubwa?
Utajuaje mtu km zimesonga? Unajua kama tunatofautiana maumbile?Ninakebehi mwanamke anayembabaisha mumewe au mpenzi wake. Au kijana anayebabaishwa na mwanamke ambaye Kwanza alimkuta mileage inasoma km za kutosha, wenzake walitafuna muwa na utamu na maji yote analofu analilia Ganda kama chungu.
Kujadili hii mada haihusiani na maisha yangu! Ukiponda mwanamke nitakuuliza tu, kama u are speaking from experience ni wewe sasa!!Wewe kama humbabaishi mumeo/mpenzi wako, ulijitunza na mileage haijasoma huwezi ona nawaponda wanawake.
Kivikwe cdmWanasema Chanda chema huvishwa Pete. Vipi chanda kisichochema?
Kumbe wanatamaniana wao kwa wao😱Wala sio hivyo wengi wao nimewashtukia ni mapapai , chunguza kwa umakini mkubwa utapata jibu
Punguza udhalilishaji wa wanawake haukuongezei lolote katika maisha yako! Unatema sumu hatari!Sasa mwanamke ziwa limetepeta, makunyanzi yameanza kutoka, mvi zimechachamaa, kutwa kucha kujivulisha na kujidhalilisha kwa watoto.
Alafu anambabaisha mumewe ndani ya ndoa akitegemea vijana tutampa tuzo.
Tuzo ndio hizi huku sasa
Kijana mdogo akimla mshangazi,hata heshima yake kwa wamama wengine wakubwa inapungua,anaona ni kama vile hata hao anaweza kutembea nao tu,hivyo hivyo na kwa vibinti vidogo vinavyotembea na wazee,Kwani akiliwa na mdogo wake kuna uume wa mtu unapungua huko?
Hapa sizungumzii heshima peke yao kati yao hao,kati ya mshangazi na kijana au kibinti na mwanaume mwenye umri mkubwa,bali heshima na mtazamo wao hao vijana huko nje kwenye jamii baada ya kutembea na watu wenye umri mkubwa ambao ilipaswa wawaheshimu kama wazazi wao.Hahhaa, heshima inapungua kumbe! Binafsi naona bora wazee kuliko vijana mtajua wenyewe huko😆
Tunaishi nao mtaani, kila mtu na machaguo yake!!Siku ukitaka kuwakomesha watoto wako wakiume toka na kijana wa umri wao. Yaani litakuwa pigo la kigaidi. Hawatakaa wasahau.
Usiwajali wala nini. Heshima kitu ganu bhana
Kwa vibinti si ndio fashion inapamba moto! Mpaka vinaulizana umempata wapi huyu na vyenyewe vikatafute!!ukizubaa vinakuibia huyo..Kijana mdogo akimla mshangazi,hata heshima yake kwa wamama wengine wakubwa inapungua,anaona ni kama vile hata hao anaweza kutembea nao tu,hivyo hivyo na kwa vibinti vidogo vinavyotembea na wazee,
sawaHapa sizungumzii heshima peke yao kati yao hao,kati ya mshangazi na kijana au kibinti na mwanaume mwenye umri mkubwa,bali heshima na mtazamo wao hao vijana huko nje kwenye jamii baada ya kutembea na watu wenye umri mkubwa ambao ilipaswa wawaheshimu kama wazazi wao.
Kwahiyo mtu kuchuja anachujaje umri haujasonga? Au unajuaje huyu kachuja bila kumtizama muonekano wa nje?
Utajuaje mtu km zimesonga? Unajua kama tunatofautiana maumbile?
Kujadili hii mada haihusiani na maisha yangu! Ukiponda mwanamke nitakuuliza tu, kama u are speaking from experience ni wewe sasa!!
Kivikwe cdm
Wapi mimi nimedhalilisha hao wanawake?Lakini kuwadhalilisha hakutowabadilisha hawa wanawake mnazidi kujichosha na maparagraph!
Mimi sina chuki wala sijaonyesha chuki yeyote ile dhidi ya hao wanawake,soma tena comments zangu,Angalieni nini kifanyike, baadhi yenu mtajazana chuki dhidi ya wanawake wakati huko nje hakukaliki!
sawa
Tunaishi nao mtaani, kila mtu na machaguo yake!!
Nyie haohao msioe singo maza, haohao tena usitongoze dem mwenye mileage kadhaa
Kwahiyo wasagane? Mnachuki zisio na kipimo kwendeni huko!!
Kuna mmoja aliandika kuwa na mtoto wa kike ni kupata hasara , ukifikiria kwa kina unapata picha gani?Kumbe wanatamaniana wao kwa wao😱
Mtazamo wa watu kwenye maisha ya watu!Chuki kwenye mtazamo wa watu?
Wanawake wanaosema wanapenda wanaume wenye pesa ni wote? Hao apeche alolo hawapati wake?Wanawake mkisema mnapenda wanaume wenye pesa huku mkiwaponda wanaume Apache alolo. Kumbe mnakuwa na Chuki zisizo na kipimo?
Kama wanatafuta pesa ili wawape wanawake pia ni akili zao zimeishia hapo!Wanaume baada ya kugundua kwamba wanaahitajika kutafuta pesa, mbona wao wanasema na kuambiana tafuta pesa Bro?
Makosa yapi? Mtu kachagua kulala na kijana mdogo hilo ni kosa au machaguo?Ila ninyi mkipondwa ndio mnahisi mnachukiwa kwa upumbavu na makosa yenu?
Na unahisi zitabadilisha wanawake watunze bikra zao? Kundi kubwa la mtandaoni ni la wanawake wenye maisha mengine kabisa, hizi preachings mkaanzishe mashuleni labdaKwa nini msiambiane na kuhamasishana Kwa kuunda kauli mbiu na misemo, Tujitunze sister, single mother sio dili, bikira zilindwe n.k.
Umekatazwa kuwa na machaguo? Umeshikiwa panga? Ukiwa na machaguo ni lazima udhalilishe wanawake ndio upumue vizuri? Hao wanaume kama wana akili kuwazidi nyinyi wajuaji kwanini hawakuwaza hivyo at first place? Kama ingekuwa muhimu sana wangeanza kuyaona katika jamii zilizowazunguka kwanza sio kukutana na mahubiri yenu ndio waanze kutafuta changes!Mnaishia kulalamika.
So mnataka vijana wasiwe na preference zao?
Ninyi mkisikia wanaume wakiambana wasioe single mother au body count zilizokwenda mnafikiri ni wanaume wote wanawaza hivyo?
Huhuhuu kila la kheri💃🏽Kama mnavyoambia wanaume watafute wanaume wenye kazi nzuri, vipato,
Ndivyo hivyohivyo tutaendelea kusisitiza kuwa wanawake waliojitunza, na wasio na misalaba ndio wapewe kipaombele.
Ni bora wa kike kuliko wa kiume akija kukubadilikia utatamani uchimbe ujizike! Wengine wanafikiria kutumia vichwa vya chini!Kuna mmoja aliandika kuwa na mtoto wa kike ni kupata hasara , ukifikiria kwa kina unapata picha gani?
Mtazamo wa watu kwenye maisha ya watu!
Wanawake wanaosema wanapenda wanaume wenye pesa ni wote? Hao apeche alolo hawapati wake?
Kama wanatafuta pesa ili wawape wanawake pia ni akili zao zimeishia hapo!
Makosa yapi? Mtu kachagua kulala na kijana mdogo hilo ni kosa au machaguo?
Na unahisi zitabadilisha wanawake watunze bikra zao? Kundi kubwa la mtandaoni ni la wanawake wenye maisha mengine kabisa, hizi preachings mkaanzishe mashuleni labda
Umekatazwa kuwa na machaguo? Umeshikiwa panga? Ukiwa na machaguo ni lazima udhalilishe wanawake ndio upumue vizuri? Hao wanaume kama wana akili kuwazidi nyinyi wajuaji kwanini hawakuwaza hivyo at first place? Kama ingekuwa muhimu sana wangeanza kuyaona katika jamii zilizowazunguka kwanza sio kukutana na mahubiri yenu ndio waanze kutafuta changes!
Huhuhuu kila la kheri💃🏽