Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Enzi hizo ndio!hahahah wew na mwenzio huwa mnanyoana?
Enzi hizo ndio!hahahah wew na mwenzio huwa mnanyoana?
Why not sahivi Ngoja nivute subila na mimi ipo siku mlioko kwenye ndoa ndio mnaEnzi hizo ndio!
Mimi sipo mkuu, ila mkielewana na mwenzio kuna raha yake haya mambozWhy not sahivi Ngoja nivute subila na mimi ipo siku mlioko kwenye ndoa ndio mna
Kama hamwishi pamoja hayo kufanya naona haiwezekani . Ndio nilipo hapo mkuu😁😁Mimi sipo mkuu, ila mkielewana na mwenzio kuna raha yake haya mamboz
Ushamba wenu tu! Kwani hamtembeleani?Kama hamwishi pamoja hayo kufanya naona haiwezekani . Ndio nilipo hapo mkuu😁😁
Ungejua ungenicheka sana😁😁kwa mama tutafanyia wapi hayo nipo bado home mkuuUshamba wenu tu! Kwani hamtembeleani?
Kwani mnakutania wapi siku zote lol 😂Ungejua ungenicheka sana😁😁kwa mama tutafanyia wapi hayo nipo bado home mkuu
Mi bado ka-chalii mkuu ila ndio najikuta kwenye nyuzi wa wazee huku 😁😁Kwani mnakutania wapi siku zote lol 😂
Basi pole jikaze, mkianza kujitegemea mtafanya vyote mpaka mchoke!
Pole sana stick to ur lane utaharibika mapema ukikomaa na nyuzi za humu!Mi bado ka-chalii mkuu ila ndio najikuta kwenye nyuzi wa wazee huku 😁😁
Gen Z tushaharibika ila so yote ya humu nayozingatia hapana mkuuPole sana stick to ur lane utaharibika mapema ukikomaa na nyuzi za humu!
Kuwa makini tu! Jiruhusu upite stage zako ukiruka utasumbua baadae!Gen Z tushaharibika ila so yote ya humu nayozingatia hapana mkuu
Asante sana kwa ushauri wako seranKuwa makini tu! Jiruhusu upite stage zako ukiruka utasumbua baadae!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ishu ya kulia/kutoa sauti inategemea mtu kakutwa na nini! [emoji16]
Kuna mapigo mengine yanaweza kukupiga, ukaona bora ulie tuu upone!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha 😂, inaweza ikawa kweli aisee, maana si kwa kuziacha vile kama kichaa.Akinyoa atapingukiwa nguvu za mwili kama Samson.
Asante sana mkuu Kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi.Subiri akiwa usingizini tu piga wembe. Hawezi kufanya maamuzi pake yake wakati hiyo kitu mnatumia wote