Maeneo yote na vyote ulivyovitaja vinapatikana kwa wingi Tanzania. Ukitaka misitu mikubwa yenye nyoka wakubwa,maji tiririka,maeneo tulivu yenye ndege tu na wanyama tu,vyote vinapatikana Tanzania. Tena vya Tanzania ni asilia zaidi. Sisifii tu lakini najua na ndio uhalisia. Huo msitu wa Amazoni umekuzwa sana,halafu sehemu nyingi za huo msitu zimepitiwa na watu.
Umekuzwa ksbb uko karibu na nchi zilizoendelea kifilms,kama Marekani. Wasanii wa Marekani wameutumia sana huo msitu kwenye filamu nyingi na ndio unaotumika sana kwenye filamu zinahusiana na misitu. Kwa hiyo lazima uwe overrated.
Labda iwe tu unataka kutembelea sehemu nyingine isiyo Tz na pia kutamani kufia kwa watu kama ulivyosema