Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Andaa na pesa ya kurudisha mwili bongo tusijeletewa matangazo ya kuchangia kusafirisha mwiliNaam.
Nataka niwe mpya..niondoe uchafu wote niliouvaa katika dunia hii. Kuna makabila mawili natamani sana kuyafikia. Kuna kabila la Sentinelese na Awa.
Hawataki watu wa nje. Wanaua. Ila hata nikifia huko nitakufa kwa amani.
Napatamani mno.
Hapana shida Mkuu. Nikiliwa na wanyama mwili hautakuwepo.Andaa na pesa ya kurudisha mwili bongo tusijeletewa matangazo ya kuchangia kusafirisha mwili
Nimetanabaisha, nikifia huko nitakufa kwa amani. Nipo tayari kwa lolote.Wasentinelese watakuua hawataki kabisa ukaribu nao
Tatizo linaanzia hapoHapana shida Mkuu. Nikiliwa na wanyama mwili hautakuwepo.
Hata hivyo, kwa desturi zetu sisi Wamasai tunazikwa unakofia. Hivyo watanizika huko huko.
Hutachangishwa sumni.
Kila mtu ana matamanio.Kama unataka mafao yako wagombanie bila wewe kujulikana umetafunwa na mnyama gani nenda. Yapo mambo ya kuyapima,lakini si kila Jambo hata unaloliona wazi hatari yake. Kwa nini usitembelee tu Serengeti,mikumi,Ruaha au Amboni. Zote zipo kwa ajili yako.
Familia yangu ndiyo inaamua. Hata hivyo, nitaliwa huko, camera za kupiga picha zitakuwa wapi?Tatizo linaanzia hapo
Unapaswa kujua kuwa kitendo cha wew kutojiwekea mipango km itatokea roho imeacha mwili huko ughaibun kuna watu watachukulia km fursa
Picha zako zitasambazwa kwenye magrup ya watsup ili kipatikane chochote kitu mwili usafirishwe lkn na wachangishaj nao malengo yao yatimie
Suluhu ni moja tu ni kujiandalia mazingira km lolote linaweza tokea
Kwa nn usiende hata Dubai kwa meli ya bure,hao warabu wameshakuwa ndugu zetu katuunganisha SamiliKutokuwa na hofu ndiyo sababu.
Ukishajaza tu nafsi yako hofu, hata ambayo hayakupasa kukupata yatakupata.
Ninatamani sana. Mwaka 2030 nikijaliwa Uhai, nitakuwa nastaafu kwa hiyari. Niende kwenye msitu wa Amazon. Niishi walau mwezi mmoja.
Ni jambo la ajabu binaadam aliyetimam kufa porin kwa njaaBila chakula kamdanganyeni nyau.
So santinelese na awa ndio uncontacted tribe dunian?Me nawazungumzia "AWA TRIBE"View attachment 2653410
Hawa uncontacted tribe nimewapenda sana yahn haya mavurugu ya dunian hawana sijuin stress za kusoma,kulipa kodi sijui kuomba kazi upate ajira sijui kuwa na pesa yahn kama wako bustani ya edernNi jambo la ajabu binaadam aliyetimam kufa porin kwa njaa
Hakuna cha UTI sugu huko au gonorrheaHawa uncontacted tribe nimewapenda sana yahn haya mavurugu ya dunian hawana sijuin stress za kusoma,kulipa kodi sijui kuomba kazi upate ajira sijui kuwa na pesa yahn kama wako bustani ya edern
Maeneo yote na vyote ulivyovitaja vinapatikana kwa wingi Tanzania. Ukitaka misitu mikubwa yenye nyoka wakubwa,maji tiririka,maeneo tulivu yenye ndege tu na wanyama tu,vyote vinapatikana Tanzania. Tena vya Tanzania ni asilia zaidi. Sisifii tu lakini najua na ndio uhalisia. Huo msitu wa Amazoni umekuzwa sana,halafu sehemu nyingi za huo msitu zimepitiwa na watu.Kila mtu ana matamanio.
Sitaki kwenda kwenye mbuga za kawaida. Mimi ni mfugaji, nimeishi katika mazingira ya porini sehemu kubwa sana ya utoto wangu.
Nataka kuishi kwenye msitu mnene, uliojazana na kutisha. Ambao bado binadamu hawajauingilia kwa kiwango kikubwa. Wenye maji tiririshi yasiyokatiza katika uchafu wa binadamu. Eneo tulivu lisilo na kelele za watu na magari.
Eneo lenye kivuli asilia, chakula kiwe cha asili pia. Maji yawe hayo yasiyochujwa na kemikali.
Mkuu, ni tamanio langu. Na nitalitimiza. Mungu aniweke hai.
Hivi hawa na wadzhabe wa huku kwetu ni tofauti na haoHawa uncontacted tribe nimewapenda sana yahn haya mavurugu ya dunian hawana sijuin stress za kusoma,kulipa kodi sijui kuomba kazi upate ajira sijui kuwa na pesa yahn kama wako bustani ya edern
Sio manyoka tu, kuna yale yanaitwa Jaguar π, kuna samaki π wanapiga shoti ya umeme mkali ukiingia kwenye 18 zao huchomoki wnaaitwa eel fish.Yale majoka yanayoitwa anaconda yanayoishi katika msitu huo hayakuweza kuwadhuru? Ama kweli hawa watoto ni mashujaa
Ni kweli tunaipenda Tanzania ila kusema Amazon iko overated nachekea kua na mashaka na uwezo wako wa akili.Maeneo yote na vyote ulivyovitaja vinapatikana kwa wingi Tanzania. Ukitaka misitu mikubwa yenye nyoka wakubwa,maji tiririka,maeneo tulivu yenye ndege tu na wanyama tu,vyote vinapatikana Tanzania. Tena vya Tanzania ni asilia zaidi. Sisifii tu lakini najua na ndio uhalisia. Huo msitu wa Amazoni umekuzwa sana,halafu sehemu nyingi za huo msitu zimepitiwa na watu.
Umekuzwa ksbb uko karibu na nchi zilizoendelea kifilms,kama Marekani. Wasanii wa Marekani wameutumia sana huo msitu kwenye filamu nyingi na ndio unaotumika sana kwenye filamu zinahusiana na misitu. Kwa hiyo lazima uwe overrated.
Labda iwe tu unataka kutembelea sehemu nyingine isiyo Tz na pia kutamani kufia kwa watu kama ulivyosema