Hawa watoto wameweza kuishi kwenye Msitu wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi

Bila chakula unamanisha nini ? Watu mnapenda kuongeza chumvi Sana , chakula kilikuwepo na maradhi yalikuwepo , labda useme mazingira yalikuwa hatarishi na chakula kilikuwa duni ukilinganisha na jinsi wewe unavyochukulia maladhi na chakula
 
Msituni utasema wameokota matunda ,je yule aliyekutwa kweny kifusi tena kabanwa kule turkey na ni mzima.

Hapa ndo tunasema kuwa muwez wa viumbe wote.
 
Wana ndevu kabisa ndiyo uwaite watoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…