Harafu familia zao wako fit kabisa, wake zao wanashare shuka kitanda, denda etc wako vizuri kabisa au Covid inawapenda wao tu.Ipo namna yani kama ni ugonjwa kwanini uwe na selective sampling? Yani ukaangalia wanaonyofolewa ni watu flani specific badala ya random! Ina maana hili tatizo liko kwa ajili ya watu maalum tu? Seems like theres a specific mission ya ki undercover
Haahaa.....
AlbadirHabari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?
Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.
Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Anyway, time will tell.
Nitarudi hapa mwezi wa kumi nitakuja kuona wamebaki wangapi[emoji470][emoji470][emoji188][emoji188]
Corona ipo na ukiizingua inakuzingua.
hawa vigogo na magonjwa yao yasio na tiba, Corona inabambataa..!
tulikosea toka mwanzo tulipo zifuata legacy za Mwendawazimu .
na tunavyochelewa kupata chanjo,
Mashaka matupu. MaCCM hatutawasamehe.
Huyu Mpango inabidi wamchunge, afya yake inaonekana haijakaa sawa.Kabudi nuru imepotea kabisa. Majaliwa jana kajisalimisha kwa JK.
Lukuvi kapooza, juzi pale ukumbini unamuona yupo doro.
Mpango bado atakuwa mgonjwa hajachangamka.
Hakuna anayewaondosha dhambi walizoshirikiana kufanya zinaendelea kuwatafuna. Na zitawatafuna hadi vizazi vyao mmoja baada ya mwingine. List inaendelea.
Umemsahau BareguKifo ni kifo tu hakuna mwenye kutegua hicho kitendawili..sisi ndio tunajaribu kuunganisha dots ..wewe binafsi angalia katika maisha yako umeondokewa na watu wa karibu yako wangapi...seif sharif na huyu fr privatus Kalugendo na wenyewe ni wa karibu na hayati?tuwe waangalifu aisee
Wewe mwenyewe unaecoment hapa huna unyenyekevu kichwa kimevurugwa unaropokaropoka hovyo, halafu unataka wenzio wawe wanyenyekevu. Kumbuka kifo siyo adhabu bali ni mwisho wa binadamu kama ilivyokua mwanzo wake alipozaliwa. Kwahiyo hata wewe itafika muda wako utakufa tu hata kwa kujikwaa na mwenye mamlaka ya kuhukumu matendo yetu hapa duniani ni mungu siyo sisi binadamu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Mkuu maneno yako ni mada inayojitegemea.
Kila mtu hakosi mema yake, JPM alimaliza matatizo yote ya ufisadi wa umeme ndani ya mwaka mmoja.
Kafufua shirika la reli linaendeshwa na wazalendo, kafufua shirika la ndege na zinakuja tatu siku zijazo.
Kawezesha madini kuchenjuliwa hapa hapa TZ.
Akaihamisha Dodoma serikali ndani ya miaka miwili waliomtangulia miaka 40 iliwashinda.
Hizo story nyingi za ukatili Ni za upande mmoja, ule wa pili haupo kwani anayesemwa yupo ndani ya ardhi kwa sasa.
Upande wa ufisadi na uonevu ambao hayati alipigana nao unao watetezi, wamejaa humu jukwaani.

Hahahah inashangaza sanaHarafu familia zao wako fit kabisa, wake zao wanashare shuka kitanda, denda etc wako vizuri kabisa au Covid inawapenda wao tu.
Weka picha zaoHabari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?
Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.
Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Anyway, time will tell.
kuna watu hawajui kwanini mpaka leo nchi iko salama, wanafikiri wanavyolala na kula bata basi watu wote wanakula bata na kulala...Mkuu mambo ya kupotezana pia huwa na sababu, kwanini wewe hujapotezwa mpaka leo hii?,
Mungu wetu ni mwaminifuMpaka kufika 2025, tunaweza kuwa na mkuu wa kaya/wakuu wa kaya wengine wa kurithi zaidi ya huyu wa sasa kama kweli Covid ndio inahusika na si vinginevyo.
Kambi ya Mbeya ndio nani mkuu?Yah Majaliwa alionekana katika ule mkutano wa CCM akiwa mmoja wa wanaoimba “tuna Imani na Lowassa”.
Jana kachukua njia ile ile ya Mwigulu ya kujisogeza kwa JK. Kajisalimisha rasmi.
Lakini siku kambi ya Mbeya ikichukua nchi pale Msoga amani itafikia tamati.