Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Seifu Sharif alienda Chato kwa Mwendawazimu na kuambukizwa Corona huko. Mwendawazimu limesambaza sana magonjwa yake yasio na Tiba
 
Corona ipo na ukiizingua inakuzingua.
hawa vigogo na magonjwa yao yasio na tiba, Corona inabambataa..!
tulikosea toka mwanzo tulipo zifuata legacy za Mwendawazimu .
na tunavyochelewa kupata chanjo,
Mashaka matupu. MaCCM hatutawasamehe.
Wewe hapo ulipo umevaa barakoa!,unakaa distance na watu?,unanawa kila baada ya masaa kadhaa?,ukiwa mzima mshukuru Mungu sana.usiwasemee watu kuwaona wao ndio wazembe sana ktk hili.
 
Laana inawatafuna mkuu, Hadi bashite ataenda na maji ,ni suala la muda tu, Covid19 inasepa na wauaji
 
Wewe hapo ulipo umevaa barakoa!,unakaa distance na watu?,unanawa kila baada ya masaa kadhaa?,ukiwa mzima mshukuru Mungu sana.usiwasemee watu kuwaona wao ndio wazembe sana ktk hili.
Mwendazake alijitakia mwenyewe!, u-much know ulimponza,akaiwekea ugoko Covid19,haikumuacha!!
 
Wewe hapo ulipo umevaa barakoa!,unakaa distance na watu?,unanawa kila baada ya masaa kadhaa?,ukiwa mzima mshukuru Mungu sana.usiwasemee watu kuwaona wao ndio wazembe sana ktk hili.
Nina akili zangu timamu na najilinda sana na Corona, na kuwalinda wengine, sio yule Mwendawazimu wa Chato.
 
Rest in peace Maalim Seif Sharif , Professor Baregu and Padre Privatus Karugendo
 
Kunywa mbege
 
Eti covid inabeba baba tuu familia yake hakuna anayepata hata mafua!.huu ni mchezo mchafu na Mungu atatulipia tuu mda si mrefu
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu, watu Hawa hawana raha kabisa, bidii ya kazi imeshuka sana baada ya kusoma mchezo unavyoendelea hapa nchini, -1. Cdf , 2. IGP, 3. Lukuvi, 4. Majaliwa, 5. Kabudi, 5. Mpango etc.
Kabudi nuru imepotea kabisa. Majaliwa jana kajisalimisha kwa JK.
Lukuvi kapooza, juzi pale ukumbini unamuona yupo doro.
Mpango bado atakuwa mgonjwa hajachangamka.
 
Nawahurumia wakina majariwa na kina msukuma
 
Alikuwa na matatizo yake ya miaka mingi kabla covid haijaibuka.

Punguza chuki za kijinga.
kwaiyo matatizo yake ndio yalimfanya awe anapinga kuhusu Covid19 na tahadhali zake,Kama kuvaa mask na vitu vingine? Halafu we usiniambie Mimi nipunguze chuki kwake, yeye mbona alikuwa na chuki kubwa kwetu?? Alimuweka Kabendera jail sababu tu yakutumia uhuru wake na taaluma yale kumkosoa!
alihamrisha watu ambao walikuwa kinyume nae wapewe makesi yasio na zamana, Ni mtu mpuuzi na mjinga ndio anaweza akadiliki kusimama kumtetea kiumbe mwenye roho mbaya Kama mwendazake!, Kuna mdogo wetu alikuwa na bureau de change, alifirisiwa mazima Hadi leo, na maovu mengine ambayo yanajulikana na kila mtu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…