Hawa waumini wana imani kali sana

Serikali ifikie hatua ipige marufu ibada za namna hii
Kama hawavunji sheria za nchi wanaachwa tu ni nyenzo muhimu inayotumika na serikali kudumisha amani na usalama. Watu wakishinda makanisani unapunguza majambazi na vibaka mtaani ndio maana taasisi za dini zinasajiliwa na wizara ya mambo ya ndani
 
Ingekua Waislamu ndo wanafanya upuuzi huu Uzi ungekua ushafika 1k huko ila wacha wafu wazike wafu wao

Ukristo huwa uko wazi siku zote na watu wamesha yazoea hayo na hata kwenye maandiko yao hayo yameelezewa na kutabiliwa kitokea…shida uislam umejaa unafiki kujiona na kujitangaza kuwa wako na haki ila matendo yao ni tofauti yani ile kinafiki.
 
nyie wakiristo niwajinga sana.hebu eleza unafki wawa islamu uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…