Hawa waumini wana imani kali sana

Hawa waumini wana imani kali sana

Hao akili hawana kabisa kama hawa tu.🤣🤣
Screenshot_20230107-221136.png
 
Ingekua Waislamu ndo wanafanya upuuzi huu Uzi ungekua ushafika 1k huko ila wacha wafu wazike wafu wao

Ukristo huwa uko wazi siku zote na watu wamesha yazoea hayo na hata kwenye maandiko yao hayo yameelezewa na kutabiliwa kitokea…shida uislam umejaa unafiki kujiona na kujitangaza kuwa wako na haki ila matendo yao ni tofauti yani ile kinafiki.
 
nyie wakiristo niwajinga sana.hebu eleza unafki wawa islamu uko wapi?
 
Back
Top Bottom