Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Mapenz ni two way traffic isije ikawa na wewe ............
 
You cant....Im sorry.
Mwanamke ndio anaweza kumpenda mwanaume mbele ya safari ila mwanaume asipokupenda mwanzon ndo bas tena labda ajifunze kukuvumilia tu.

There's a reason why wanaume ndio wanatakiwa kutongoza

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mueleze ukweli kuwa nini unataka kutoka kwake. Romantic people are made.

Anabadilika zikipita siku 3 anarudii kama zamani

Kuna siku tuligombana nikamwambia tuachane

Alinijibu “ Mapenzi kwake sio kipaumbele
Ni kama starehe tu yeye anawaza pesa hata nikimuacha haitomuuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu nipe hizo mbinu [emoji1787][emoji1787]

Mie bado sijamchoka jmn
Njia pekee ni kukutana naye physically as much as you can maana nishajua hana story za kwenye simu ila live anaongea fresh.
Then ukikutana nae 2/3 times mpe sex.

Communication makes a relation...Kwahyo jaribu kutumia njia anayoweza ya communication (ana kwa ana).

Kama situation uliyonayo haiwezekani (distance) basi it's hopeless..Maana hiyo ni the only way. Labda usubirie situation ikae fresh (Distance isiwepo) ndiyo ufanye hayo.
ila wakati huo unasubiria situations zikae poa..Uwe unasali asikutane na mtu ambaye situations zao zitakuwa poa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseee aya nitajaribu
 
Back
Top Bottom