Hawataki kukubali ukweli kuwa Rais Samia anatuongoza vyema

Hahaha ukiona mfu anamtesa alie hai ujue alie hai ni hana kitu kutwa mzima mnashinda na marehem mafala kweli nyie
Ipo haja ufundishwe hata kusoma soma historia na vitabu vya dini. Watawala woote waovu, wanyama, wadhalimu wanasemwa mpaka kufa kwako bado watasemwa huelewi kasome biblia au msuafu utakutana na hadithi za kina pharao na wengine wengi. Shetani lazima akemewe hauwezi kumtukuza shetani
 
Wazo zuri. Walitaka kuwapeleka burigi sijui bugiri.
 

Usafirishaji wa twiga Sasa ruksa.​

Sina uhakika kama hiyo taarifa ni kweli lakini pia ukiisoma mwisho inasema waliokuwa kwenye mashamba au mazizi ya kuwafuga hao wanyama pori
 
Sina uhakika kama hiyo taarifa ni kweli lakini pia ukiisoma mwisho inasema waliokuwa kwenye mashamba au mazizi ya kuwafuga hao wanyama pori
 
Barua ya uongo hii. Haina hata mhuri wala saini ya wizara husika.
 
Sawa. Ila haujaambiwa watachukua waliopp kwemye hifadhi. Bali waliosalia kipindi hicho
 
Kama anatuongoza vyema si muache watu waone wenyewe?
 
Watakubali tu, ni suala la muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…