Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Simuoni Zakhia Meghji
Simuoni Sofia Simba
Simuoni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar!
Simuoni Emmanuel Nchimbi
Simuoni............
Simuoni ..........
Simuoni ..........Mwenyekiti Mstaafu wa CCM
Simuoni Jokate
 
Chama cha majambazi! Halafu utaskia wanaulizia eti “ruzuku ya chadema” kumbe wanawadanganya raia maskini na wasio na akili ili kuwa confuse!

Wanasema “miluzi mingi humchanganya mbwa”
 
FYI 2020 anakua Rais WA smz anamkimbia Chikungunya!
Nilifikiri mimi tu ndio najuwa hivyo! Unayosema ni 100% hasa suala la.kumkimbia mtu kwa sababu akikataa kuendlea itakuwa ni aibu, lazima itafutwe sababu itakayokubalika kwa yeye kuondoka hapo alipo sasa!
 
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa

3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten

4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM

5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM

6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000

7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi

8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)

9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda

10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Tunamsubiri,ila tunaomba asitafune maneno yake
 
Joka lenye makengeza humu limepona
HAnaga time na vi deal vidogo vidogo hivyo mkuu; ye zake ni mabilioni, sio tumilioni 2 au tutatu; sasa kama hayo mavx ya Nape kweli jamaa anaweza kuingia kweli!? Huyo Mnyantuzu sio kabisa.
 
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa

3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten

4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM

5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM

6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000

7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi

8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)

9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda

10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Mbona hamjaelezea na pesa za kununua wanachama wa upinzani ilikuwa inatoka ktk mfuko gani?
 
Hii imedhihirisha akina mama wanastahili kupewa uongozi wa nchi! Au tuseme UWCCM hawana mali za kufisadi? Mungu fanya hima mama Samia akabidhiwe nchi!
Mungu anaweza asiwe tayari,kwanini hata Lucifer kubwa la maadui asifanye yake?
 
Mbona hiki chama kina mali nyingi kuzidi serekali kulikoni? Huu mzigo mpya umeingia sokoni mbonge la muvi mbona sijamuona Bashe kwenye hii muvi mpya
Bashe nahisi hajawahi kushika madaraka ccm yakumfanya kuwa fisadi...
 
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda

NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.

Naomba kujua wanshtakiwa na CCM au SEREKALI au utaratibu upi unatumika kupeleka haya mashtaka?
MaANA NAONA KAMA NI MADAI BINAFSI HUKO NA YANATAKIW AKUSIMAMIWA NA WANASHERIA WA CHAMA.
 
Hivi haiwezekani kuganga yaliyopo na yajayo? Yaliyopita sindwele. Jipangeni kutengeneza utaratibu imara/madhubuti wa katiba ya wwnye nchi/wananchi na hiyo ya ccm ya wanachama ili mambo haya ya sijirudie tena.

Striver wetu mh Rais JPM akiamua atalifanya na ataweza.
 
Back
Top Bottom