figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nikutakie kazi njema mpenzi wangu.........
joto sana heri niwe kifua wazi
Asante honey. Mia
sema bhana mi naishi kwa neno lako.mmh hebu nisiseme sana mie
Excellent unanitakia mema kweli.....sema bhana mi naishi kwa neno lako.
take me to your world.
Just take me to your world.
sawa wii.....maana leo nina kihede mwede na usiku wa leo...
hivi we ilikuwaje wii
aaaah ndo mwenyewe,i miss her much bhana, cacico upo?
aaaah ndo mwenyewe,i miss her much bhana, cacico upo?
wii we acha tu, hiyo furaha ambayo niliyokuwa nayo kwa kipindi kile siwezi elezea maana nahisi Arushaone alinipeleka mbingu ya 6, ndio maana kila siku siachi kusema nampenda, maana alinifungulia ukurasa mpya wa mapenzi, nami nilijitahidi kumpa vitu adimu shemejio hadi uswati akauacha, we huoni sikuhizi shemejio ametulia?
Sasa hivi tunakula mema ya ndoa huku tukilea kizygot chetu kwa raha zetu!!!
Nawatakia kila lakheri wii kwenye maisha yenu ya ndoa na Moderator awabariki mvishinde vishawishi in the name of Invisible na Baba V
sema AMEN!!!!
aaaah papara tu mpka ulimu ukateleza,btw how are you?ok basi ujumbe utamfikia maana niliona umejing'ata ulimi ukashindwa kutamka vizuri!
lol!....my sis bhanaatakuwepo tu..........endelea kumtafuta
Just take me to your world.
I'll be your volunteer and you 'll be my magician girl
!!(2xl)
lol!....my sis bhana
basi tu bhana nimepiga salutisi unajua mwenzio nimeolewa lakin
aaaah ila si umeolewa lakinihapo sawa....nilikuwa nimeshtuka ujue
basi tu bhana nimepiga saluti