asante sana Baba V. mpenzi wangu Heaven on earth nakupenda sana. na sisi ndoa yetu ndo itakua mfano wa kuoigwa kwa wote walio ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Mungu atusaidie. hiyo jumamosi kuna watu muhimu sana ambao hawatakosa.
dada zangu ram karucee na kijino. rafiki zangu mathematics washawasha slave na Invisible. kaka zangu Mwita Maranya Mzee wa Rula na Mtambuzi. kuna maswahiba gfsonwin ladyfurahia Mamndenyi Madame B ummu kulthum na amu. dah!...nina furaha sana. shemeji Arushaone wapi jamani?. mia
anaandaa breakfast afu dr alimshauri apunguze mazoezi sana kwa ajili ya kijacho.
Jamani hatimaye babe wangu figganigga kaamua kufanya kweli
Nina furaha isiyo na kifani....................
Nashukuru sana kwa nasaha zako Mzee mwenzangu, ni kweli hawa vijana ni lazma watambue kuwa ndoa sio tu kugundua style mpya za kungonoana deile..
hii jumuia kuna ma watawa
muambie namtumikia bwana mie
Nimeamka salama babe.......
Love you.........