Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

ww ndie umekaa kishabiki! Ona ulicho andika!
Awachonganishe kwa Maana wana akili za kushikiwa na kuvukia barabarani...
Au waohawana ubavu wa kuchonganisa??
 
USA ikifa si dunia nzima itabaki hivyohivyo make hakuna nchi inayoonesha Dalili ya kuchukuq sehemu ya USA...Unless unachakata hizo data kwa macho ya kishabiki tofauti na hapo Hakuna dalili zinazoonesha kuwa USA inapambana kufa...ni ushabiki tu ndo inakusumbua.

Kama siyo ushabiki ni nguvu gani inataka kuiua USA.
 
Wamarekani wenyewe...the American elites wanasema hivyo Sasa wewe ni Nani ukatae Hilo?!?!
 
Nashangaa kwa nini nyie hamjaenda huko mkajilipue ili mkapate wale mabikra 72 walio katika nchi ya kusadikika, unapiga kelele humu tu kila siku sasa wewe ni jihadist gani sasa. Bure kabisa.
Nashangaa kwa nini nyie hamjaenda huko mkajilipue ili mkapate wale mabikra 72 walio katika nchi ya kusadikika, unapiga kelele humu tu kila siku sasa wewe ni jihadist gani sasa. Bure kabisa.


Kwani umeambiwa Ukraine vs Russia ni vita vya kidini??

Zelensky Shoga mwenzako anapigwa mbona huendi kumsaidia??, hopeless.
 

Yericko Nyerere atakuwa anatamani akawaongezee nguvu warusi hata kwa manati.
 
ww ndie umekaa kishabiki! Ona ulicho andika!
Awachonganishe kwa Maana wana akili za kushikiwa na kuvukia barabarani...


Hivi wewe unaishi dunia ipi au una umri gani??-- nisiwe naongea na mtoto wa primary asiyejua history!!.

Huoni Sudani wanapigana??, Unamjua Kwame Nkrumah ilikuaje akapinduliwa??, Patrice Lumumba naye kilimtokea nini na kwa nini??, Mobutu aliingizwa madarakani na nani??, aliongoza Zaire ,(DRC) hadi anapinduliwa unajua historia ya utawala wake na kwanini alidumu muda wote huo??, vipi Jonas Savimbi Muasi wa Angola aliyejenga himaya huko Kabinda ndani ya Angola kwa miaka kadhaa huku akiwa na vifaa vya kisasa vya kivita kuliko serikali ya Angola, vifaa alivyopewa na Marekani kupitia Zaire kwa Mobutu. Ni maisha ya watu wangapi waliangamizwa na huyo Savimbi achilia mbali vilema nk.

America ndiye shetani mkubwa mwenye mikono iliyojaa damu na mwenye kiu ya damu za watu (The world most bloods thirstiest monster).
 
MDA wa kuharibu soko la hayo mapipa uchwara ya Patriot[emoji1]
Makombora ya himars yamekuwa intercepted na RU air defense kwa urahisi ndio maana saiz kelele za himars hazipo tena ,na nimeiona leo news kuwa zile leopards za mjeruman zina perform chini ya kiwango kilichotarajiwa (hazileti unafuu kama ilivyotegemewa ).

Ngoja tuone na haya labda yatawaletea hafuweni
 

Liinsha lote hili umeandika hehehe mnateseka sana nyie watu ila ndio hivyo mliyemtegemea analiwaaa...
 

Hehehe ona unavyoteseka kumzidi Putin, Kyev ilishindikana mtabadilisha lugha mpaka mchoke, na kamji ka Bakhmut kameshindikana na sasa operesheni ya kurejesha ardhi ya watu inaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…