Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

Vp gavoo ishalipa mishahara ya watumishi wa umma hapo kwenu

 
Jibu swali acha siamba nyingi.
 
Naona unakumbukia point zako za poor government support,forced labour na kadhalika.
 
Mkuu kwa akili ya kawaida unaamini kuwa Russia anaweza kuaribu uchumi wa Ulaya lakini uchumi wa Russia ikabaki salama?

Kwa vile unapata taarifa kutoka ulaya ila upati taarifa kutoka Russia unaweza dhani kuwa Ulaya inayumba ki uchumi kuliko Russia.
Unaangaika kumjibu mtu kama huyo ndugu? Yaani Russia ana ubavu wa kuharibu uchumi wa Ulaya? Kivipi kwanza?
 
Kwa hiyo unataka kutuambia vita vimeisha na Russia wameshinda.
 
kwa kidogo walichokua nacho wameweza kumlemaza supapawa tegemeo la waarabu wenu, sasa wanaendelea kupata vitu vya kweli...
Mrusi na warabu wapi na wapi,,, kubwa jinga waarabu itakuwa walikula kiboga wewe mana unavyowachukia utadhani labda hiyo Ukraine unayoishabikia inadundwa na waarabu
 
Kwani umeambiwa Ukraine vs Russia ni vita vya kidini??

Zelensky Shoga mwenzako anapigwa mbona huendi kumsaidia??, hopeless.
Mhaithia mvua imemnyeshea!
 
Bakiza akiba ya maneno
 
Jina lako Jacob hadhi yake haiendani na unachoandika.
Hilo unalolishabakia haliendi kuleta amani Bali ni uharibifu wa binadama na Mali zao na pia simetumwa Kila aina za silaha na kelele nyingi lakini hakijabadilika Kila kitu Cha msingi kuwaombea amani na si kushangilia watu wanapouana
 
wanaoishabikia Urusi wengi wao ni hamnazo , eti unavamia Ukraine ili upate multipolar world dah afrika tuna vichwa vya ajab kabisa , kwamba West wangeiacha Ukraine , ingekuwaje ?
 
kwa sasa dunia ina watu wa ajab sana
 
achen uomba omba , 95% ya mataifa dunian yaliwai tawaliwa , nyiny mmetawaliwa haizid miaka 100 ila mnalia kuzid USA alitawaliwa zaid ya miaka 300 , WAAFRIKA KUNA NATI IMELEGEA SIO BURE , MPK KESHO MKIULIZWA KWANN HAMUENDELEI MNADAI NI UKOLONI NDO SABABU , HLF HAMUION MIJIBABA INAPITA NA 41B NA 10% YA KILA MRADI WA UMMA , HLF UNATEGEMEA MAENDELEO HAPO ?
 
West wamezoea mikiki mikiki tangu zama na zama sio kama Urusi na Uchina , mifumo ya west inawafanya wawe imara muda wote tofauti na China , Iran, Saudi Arabia na Urusi , akifa kiongoz mkuu ndo mwisho wa mwelekeo mzuri wa nchi nzima , west mifumo ndo inaongoza nchi zao
 
Ukichunguza sana wanao ishabikia urusi ni walio ishia darasa la.4 au wale ashki majunun hata akiona kuku wawili wanapigana bila sababu anashabikia mmoja....
kabisa mkuu angalia hoja zao humu , ukiizungumzia Urusi yeye analeta story za USA bila kumtetea kwanza anaemshabikia , NI KITUKO KARNE YA 21 KUNA WATU WANASHABIKIA UDHALIM WA TAIFA KUBWA KAMA URUSI DHID YA NCHI CHANGA KAMA UKRAINE
 
ww ndie umekaa kishabiki! Ona ulicho andika!
Awachonganishe kwa Maana wana akili za kushikiwa na kuvukia barabarani...
Au waohawana ubavu wa kuchonganisa??
hao teamPutin wao wanahisi marekan ana dawa ya kuamua nan apigane ila hawaamin kuwa watu wanaeza pigana kwa sabab zao tu
 
kwa kidogo walichokua nacho wameweza kumlemaza supapawa tegemeo la waarabu wenu, sasa wanaendelea kupata vitu vya kweli...
Endeleeni kumpnza tu huyo shoga mwenzenu, kunakitu anakitafuta na atakipata soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…