Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

Wamarekani wenyewe...the American elites wanasema hivyo Sasa wewe ni Nani ukatae Hilo?!?!
Marekan kuna uhuru wa kuongea sio kama Danganyikq yako hii na Urusi , hapa tz Ndugai ulimuona kww kuonesha haung mikono swala la mikopo bila mipango
 
Wewe una utoto mwing halaf upo bize kutetea utoto wako , inamaana kila mgogoro ni USA ndo kachonganisha ? tumiaga hata akili ya chekechekea , kila mgogoro una sababu zake na sio kuihusisha marekan kila mgogoro , Urusi kaanza ivamia Ukraine tangu zama na zma hata kipindi wakiwa ndan ya USSR warusi wa moscow hawakuwa friendly na wakraine , the same maeneo meng ya USSR yalinyakuliwa kwa kuporwa kwa majiran mf east Poland na East Finland poa Japan hata uchina na N.Korea , sasa hapo ukisikia siku china vs Russia usichanganyikiwe hii migogori ipo tang zaman kama ilivyo china na india au china na hong kong au china na taiwan au china na japan
 
Tuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,
Wanaoathirika sio uzao wa Putin bali wa wengine wasio na hatia
 
Kichwani kuna shida.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Unapendaga sana kujitekenya na viblog vyako 😂😂😂😂
 
kabisa mkuu angalia hoja zao humu , ukiizungumzia Urusi yeye analeta story za USA bila kumtetea kwanza anaemshabikia , NI KITUKO KARNE YA 21 KUNA WATU WANASHABIKIA UDHALIM WA TAIFA KUBWA KAMA URUSI DHID YA NCHI CHANGA KAMA UKRAINE
Hata Torati IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 27:17
[17]Na alaaniwe aondoaye mpaka wa jirani yake. Na watu wote waseme, Amina.


Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
hao teamPutin wao wanahisi marekan ana dawa ya kuamua nan apigane ila hawaamin kuwa watu wanaeza pigana kwa sabab zao tu
Nimeamni team puti wengi Dhamiri Njema Ambayo Mwenyezi Mungu Amewaumbia ndani yao Imejifia!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hilo unalolishabakia haliendi kuleta amani Bali ni uharibifu wa binadama na Mali zao na pia simetumwa Kila aina za silaha na kelele nyingi lakini hakijabadilika Kila kitu Cha msingi kuwaombea amani na si kushangilia watu wanapouana

Hakijabadilika kitu kivipi? Wewe jiulize huyo sipapawa wenu mpaka leo amekwama hapo Bakhmut, isingekua jitihada za hao vijana wazalendo angefumua Ukraine yote.
Ameliwa sana.
 
Endeleeni kumpnza tu huyo shoga mwenzenu, kunakitu anakitafuta na atakipata soon.

Amewatafuna mabwana zenu Warusi tena bila vilainishi, takbirrr
 
Dah....
Hivi Marekani umefika au unasikia kwenye media tu?!?!!?! Uhuru gani wanao Marekani?! ...Yuko wapi Snowden?! Soma kutabu Cha The Political Economy of the Mass media: The manufacturing consent of the Mass media...waandishi ni Prof. Noam Chomsky na Edward Herman...hapo ndioo utajua Kama Marekani Kuna Uhuru au la..
 
Kwa kauli hii bila Shaka unachoelewa ni siasa za uchaguzi za udiwani na wenyeviti wa vijiji na mitaa hapo TZ
 


Mimi ningekuona wa maana sana kama ungekanusha hicho nilichoandika kuhusu America kinyume chake unaleta historia ambayo haihusiani kabisa na kile nilichosndika, sasa ni nani mwenye akili za kitoto kati yangu na wewe??

Kwani mimi nimekuuliza juu ya hiyo migogoro uliyoisimulia au unataka tujue kwamba wewe ni mjuzi wa history??---- childish.
 
Tuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,
Uliona wapi vita active ikamalizika salama?
 
Tuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,
Uliona wapi vita active ikamalizika salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…