Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Ni upumbavu Afrika kuitegemea Urusi na Ukraine kwa chakula na binafsi bado hata siamini kama ni kweli
 
W
Watu hawaelewi kabsa
 
Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Putin alisema nchi yoyote itakayotoa msaada kwa Ukrain itapata cha moto
mwisho wa siku nchi kibao wametoa silaha kwa Ukrain means walikuwa tayari kwa lolote

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
kabisa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Putin alisema nchi yoyote itakayotoa msaada kwa Ukrain itapata cha moto
mwisho wa siku nchi kibao wametoa silaha kwa Ukrain means walikuwa tayari kwa lolote

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nchi hizo wametoa msaada Kwa tahadhari ya kutocross line na kuonekana wameingia vitani!Kufanya biashara ya silaha wakati wa vita ni jambo la kawaida,shida ni kwamba ni silaha gani unatoa?
Kama hizo nchi ziko tayari,kwanini wasiingize majeshi yao?
 
Ji
Jidanganye sasa! Mwambie arushe hata kombora moja tu pale Poland ambae ni member state wa NATO aone. Unazani hii kitu imeanza kupangwa leo? Unazani kwa nn Urusi haikutaka mama Clinton awe rais? Unajua kwa nn Urusi hataki NATO iendelee kujipanua kuelekea East? Ni mtanzania pekee na sio mrusi mwenyew anayeweza kuamini kuwa Urusi inaweza kupigana vita na jumuiya ya NATO na ikashinda. Uwe unaangalia hata takwimu za kibajeti za ulinzi angalau zitakupa mwanga pa kuanzia....! Hicho unachokiamini kuhusu Putin ndo walivyoamini watu kuhusu uwezo wa Saddam Hussein na ndicho wanachoamini watu kuhusu Korea Kaskazini huu ndo utaratibu wa nchi za kidikteta kutumia nguvu kubwaaaa kuhadaa umma wa nchi zao na dunia kwa ujumla kwamba wana uwezo uliopitiliza wa nguvu za kijeshi. Hata kinachoendelea pale Ukraine leo Urusi hakupenda ila hana budi kujitetea na kujilinda ili kuzuia kuzunguka na NATO kila upande. NARUDIA NI MTANZANIA PEKEE NDIYE ANAYEAMINI KUWA URUSI INAWEZA KUPIGANA NA JUMUIYA YA NATO NA URUSI IKASHINDA NA PUTIN AKAENDELEA KUWA MADARAKANI. Over
 
Eti wewe una taarifa za kijasusi kuliko hao Russia wenyewe🤣🤣🤣!
Ramani ya Ukraine haitakuwa Ile ya kabla ya uvamizi!
 
Hivi NATO wanajihami dhidi ya nani?Kwanza kuwa na mjadala wa Urusi dhidi ya mataifa 30 duniani,ni wazi Urusi sio wa mchezo mchezo!
Ikitokea world war III,vita ya nuclear haitakuwa na mshindi!
Watakaonusurika kamwe hawawezi kujiita washindi!
 

Wewe na viongozi wako wa Afrika mna akili sawa,ufe na njaa kivipi aridhi unayo kubwa na yenye rutuba alafu bado unalilia njaa
 
Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.


Hapa ndipo itakupatikana:- "The new African order"---- hatuwezi kuwa tegemezi hata kwa vitu kama chakula ilhali ardhi yetu inafaa kwa chakula, kinachohitajika ni management tu.
 
Pro NATO bado wanaishi kwenye zama za Mfalme Njozi 😂😂😂 wanafikiri Marekani ndio Mungu wa hii dunia.

Game isha change and there is no going back.
Waache wakina ARISTOTE wazee wa vikao waendelee kuunda vikwazo kwenye bunge lao la mchongo.

Wazee wa Brics wamesema kazi iendelee 😂 no more New World Order ikibidi dunia isiwepo tu. Tutafumuana hata Iskander na Satan.
 
Kumbuka NATO ni alliance ya vinchi vidogo vidogo vya Ulaya, save Turkey,USA na Canada - Russia inamiliki types za silaha ambazo gotta no parallel in the entire World, Waamerika wanajuwa ukweli huo ndio maana wanawapa Ukraine silaha nyingi wakiwa na lengo la kujaribu ku-weaken jeshi la Urusi - pamoja na ujeuri na arrogance ya USA hawana ubavu wa kujiingiza vitani moja kwa moja dhidi ya Urusi nawaambieni - wataishia kulahumu lahumu tu, calling Putin names under the SUN, watahishia hapo basi, lakini hawata dhubutu ku-commit boots on the ground kumsaidia Zelensky au kuishambulia Russia kijeshi wanajuwa jeshi la Urusi na maji marefu.

Past experience zinadhilisha kwamba uwezo wa NATO ni highly inflated kwa kupitia propaganda zinazo kuwa propagated na media zao 24X7, miaka ya nyuma tuliwahi kushudia walipo vamia taifa dogo la Yugoslavia iliwachukuwa muda gani ku-pacify jeshi dogo la Yugoslavia? Kitu kingine, mbona NATO imewachukuwa takribani miaka ishirini Afghanistan chasing shadows na mwisho wa siku wakajikuta walio kuwa wanapigana nao ndio wanatawala Afghanistan hivi sasa - what does that tell us?

Uwezo wa NATO ni kuonea/shambulia/vamia military weak banana Republics and not the Real McCoy like Russia,China and North Korea.
 

Mtalia sana mwaka huu manake sindano inaingia taratibu. Unazungumzia vinchi vya europe ambavyo hata dsm inavishinda kwa ukubwa, hivi unajua nyuklia moja ikitua katikati ya europe almost nchi zote zitakua affected??

Afu unajiita na wewe critical thinker kwa akili kiazi kama zako.
 
Kilichopelekea roma kuanguka ndio kinaikumba sasa usa
Ushoga
Currency manipulation
Empire overextenstion
Wars


Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app

Inshort uchumi wa US ni [emoji385] ila kuna watu hawajui hilo[emoji23][emoji23]. Anaprint hela anawakopesha mnafurahi ila Africa sijui nani alituroga[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 

Nuclear=Respect, ndomana ukifuatilia kwa makini utaona nchi zote ambazo ni tishio kwa US amezipa sanctions lukuki angalia NK, Iran, Russia naona anaimendea na China. Manake hio ndo silaha yake kwa nchi hatari kijeshi unachek upande wa pili,

NK sanctions kama zimedunda ukija Iran maisha yanaendelea fresh njoo Russia uchumi mpaka wa Dunia umeshake hata waliotoa wanaumia[emoji23][emoji23]. Tunakokwenda sahv ni heshima sanctions hazi work sasa kwa mataifa yaliyoendelea. Anguko la US sio muda huyu mbwa lazma apotee amezid uonevu na unyanyasaji.

Ogopa sana Putin anacheza na akili za Viongozi wa West na amewakamata. Viva PUTIN[emoji1377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…