Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Hawakitaki wao kama nani katika uso wa dunia? Hizo System zao wanaozisimamia si kikundi cha washenzi wanaotaka kuendesha dunia nzima kama mali yao binafsi kwa uhuru wa bendera tu.

Wanarasimisha mambo ya kishetani kwa muda mrefu tu hadi sasa kufikia kueneza ushoga duniani. Urusi wamegoma kuwa ng'ombe kwa muda mrefu sana na hata leo wako na msimamo wao. Nchi yao ina watu wenye akili nyingi tu ambazo wamezitumia miaka yote na hadi leo wanazitumia kujiendeshea maisha yao kivyao.

Wanachotaka hao washenzi ni kuuvunja utaratibu wa Urusi ili walete democrasia yao uchwara ili waweke mamluki waiharibu Urusi. Hawataweza kamwe!
 
Haaahaaa..🀣🀣🀣...sawa Chief of Military intelligence wa russia na USA kwa pamoja
 
Mkuu hii uliyotaja ni formality tu lakini nyuma ya pazia hali ndivyo itakavyokuwa, kwani saivi mbona EU na Marekani wanaisaidia silaha Ukraine, wanaisaidia kwa umoja wao upi?? taja.,
 
Huku BBC wakikiri kuwa kuna tambo la S-5OO ambalo limezinduliwa hamna ndege wala missile itakatisha kwenye zone yake na hilo tambo ni la mrusi. Sasa endeleeni kujitia wazimu tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania hatujawahi mtegemea Ukraine wala Russia kwa chakula. Nishati sawa.
 
Sio nukes tu bali ni nukes za mwendokasi ambao hata US anazishangaa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Wakati una launch la kwanza kabla halijafika urusi mshalipuliwa
 

Haya ndio mambo ambayo huwa mnajiambia na kujiliwaza kana kwamba hatukua wote humu, tulishuhudia jinsi gani Urusi walifeli both tactically and strategically kwenye kujaribu kuparamia Kyev, waliingia hasara balaa, ikawa wanajeshi wao wanakufa kwenye kila jaribio, kitongoji kwa kitongoji, supply ikashindikana.

Tatizo kubwa la Urusi lilikua intelligence, walikua wameaminishwa visivyo, kamba wataingia na kuungwa mikono na watu wa Ukraine moja kwa moja na kwamba wanajeshi wa Ukraine watakata tamaa mwanzoni.
Kila walichokifanya kikawa majanga na kinyume cha matarajio yao, nakumbuka pale Kyev ndege iliyokua imebeba makomando 400 wa kikosi cha 331st Airborne Regiment kudunguliwa wakafa kwa mpigo mmoja.
 
Kujiunga na EU kuna taratibu zake na ni ndefu.

Haitatoke eti viongozi wa EU waamke asubuhi na kuzivunja.

Usifikiri EU inaendeshwa kama banana republic...
 
Lakini baada ya walio mislead kikosi kufurushwa umeona mkong'oto unaotembezwa na chenchens na wagner?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…