Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Not only war but to eliminate him once and for all. Kiufupi dunia itasimama.
 
Wapeleke wanajeshi ndio tujue wanamsaidia!Ila Kwa biashara ya Silaha,ni jambo la kawaida kwenye vita!US na washirika wake wanamtia hasara Ukraine,mzigo wa madeni baada ya vita itakuwa balaa!
 
Putina anaelewa kwamba Ukraine nayo ina haki ya kuwa na msimamo wake?!
Anaelewa sana,na yeye nchi yake Ina msimamo wake!Na msimamo wake ni Huo kuwa hataki harufu ya NATO!
Vita imetokea baada ya misimamo ya nchi hizo mbili kuwa na mgongano wa kimaslahi!
 
Ngoja tuone
 
He mkuu ni wewe uliandika hivi au uliamkia yale mambo yetu asubuhi, sasa Ukraine tu mwezi wa 5 huu Russia bado yuko vijiji vya pembeni mara anajitangazia kuvichukua mara anafurushwa unafikiri NATO na EU waingie fully si Russia litabaki jangwa tu
 
Alichofanya US nchini Libya,Iraq, Afghanistan na kwengineko ilikuwa anagawa zawadi kule eeh?
Huwezi kujistify makosa kwa makosa,
Pia hapa tunaiongelea Ukraine against Russia, Kwa kuwa hao wameonewa ndio turuhusu na hawa waonewe? Sio fair.
In justice we stand.
 
Hataweza tena
Hakuna ataethubute kupigana na RUSSO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba chanzo cha taarifa tafadhali
 
Baeleze,
Ushabiki maandazi ni ujinga, yaani mtu anaona kuwa Russia yuko sahihi wakati anachofanya ni ubakaji.
RUSSO ipo SAHIHI
Kama haipo SAHIHI inatakiwa NATO wakamstopishe kama walivyofanya kwa LIBYA IRAQ nk
Kama haipo SAHIHI inatakiwa EU sio wapunguze yaani waache kabisa kufanya biashara na RUSSO
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona porojo nyingi kwa mabeberu hakuna vitendo, Urusi yeye anatekeleza tu.
 
Vita vyote vya duniani hupangwa na kuzimu. Vinaratibia na illuminanti au elites yaani wenye akili nyingi za dunia hii. Vita huhusisha umwagikaji mkubwa wa damu, na damu ndicho chakula kikuu cha mashetani ya kuzimu. Tuko majira ambayo Bwana Yesu anakuja kuwanyakua walio wake. Laiti tungemwamini Yesu, tukaamua kumpa maisha yetu ili ajapo asituache. Dunia itaendelea kuwa sehemu mbaya ya kuishi, ladha ya dunia itaendelea kupotea.



YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
 
Mkuu hii uliyotaja ni formality tu lakini nyuma ya pazia hali ndivyo itakavyokuwa, kwani saivi mbona EU na Marekani wanaisaidia silaha Ukraine, wanaisaidia kwa umoja wao upi?? taja.,
Muache upotoshaji
UKRAINE anasaidiwa na silaha nakila anaeona anaweza
US mwanachama wa EU
JAPAN mwanachama wa EU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi kabisa NATO wanaenda kisheria kwa Sababu hili swala ni long planned event .Lengo ni kumtoa Putin madarakani na ishu ni ya USA na bado watu wanabisha eti hii vita vita Urusi atashinda,ajabu Sana Yani kweli upambane na USA unashindaje ?Kwa hali ilivo Putin ajiandae kwenda kuzimu kwa lazima muda wake umeisha.
 
Lakini baada ya walio mislead kikosi kufurushwa umeona mkong'oto unaotembezwa na chenchens na wagner?

Mkong'oto upi, jameni kila nikikaa nilinganishe Urusi ambayo niliiskia miaka yote na hii nabakii kushangaa sana, kainchi kadogo pembeni walipaswa wawe wamekafunika na kusimika uongozi wao unaoimba wimbo wa taifa wa Urusi.
Leo wameishia kuburuzana huko kwenye tumiji twa mipakani, naomba mtu yeyote mwenye akili timamu aitazame hii picha mara kumi na kupata aibu...
Kila nikiitazama yaani nashangaa sana

 
Hao NYETO sijui NATO wanaonea nchi za uarabunu na Africa ila when comes to RUSSIA lazima mkia ufyate kama mbwa koko
Ila wabongo ni viazi yaani NATO ndio unawaita NYETO sio , aubkwa vile umezoea kujisugua Kwa kupigwa NYETO bafuni basi kila kitu unawaza NYETO Tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38] sasa magufuli angewafanya nini weatern kama 60% ya bajeti wao ndio wana fund, magufuli alikuwa anawatisha nyinyi wananchi wake lakini siyo western
Mkuu Kuna watu ni WA kuhurumia maana ni kama Wana msongo wa mawazo ,fikilia Kuna watu waliamini eti nchi yetu ni donakantri na Bado wakashangilia kama mazuzu,Pole yao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…