Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Embu acha mambo yako ya ajabu bhana wee jamaa vip asee
 
Aisee naomba source ya huu ujinga ulioandika hapa. Ni wapi Russia alisema anataka kuichukua Ukraine??
 
Wala siyo kweli. Putin hana uwezo huo kwasasa. Kiufupi hii vita urusi alikurupuka
Una kitu gani cha kuchukua Ukraine? Marekani atabaki kuwa Superpower country miaka 1000.
Unapigana vita ili uonekane una silaha kali sana. Putin hana akili aisee

Ila Wakenya akili zenu sijui mlipelekaga wapi asee, [emoji1316]. Tunajua wakenya ni washika buti wa US akianguka uyo Mr. Canon hamna chenu. Poleni
 
Sasa mbona wanalia hali mbaya kama Russia kapoteza hizo idadi, mtu mzima kama wewe kuendeleza propaganda ni aibu. Zelenskyy mwenyewe anakili hali mbaya.

Zelensky alianza kukiri hali mbaya tangu siku ya kwanza, kuna hata siku alisema inawezekana hii ikawa simu yake ya mwisho, sote tuliogopa sana maana tulidhani Urusi iliyokua inasifiwa miaka yote ndio yenyewe kumbe upuzi tu.
 

Hizi bla bla zenu hazina mashiko, jamaa ameteswa sana na kainchi kadogo

 
Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
Kamfuate huko chato chini alikolala.
 
Nyie sijui mnakuwa na fikra za aina gani. Yaani Russia aivamie Moldova au Lithuenia au Estonia ndio vita ipiganwe kati ya russia na nato sababu tu warussia wamemgusa mwanachama mwenzao! Hii haiwezi kutokea. Labda aguswe German, France n alike. Sio hivyo vitakataka vinavyojiita nchi.
 
Ameshatumia laser weapons, hypersonic missiles n.k zote hizi ni silaha za kisasa katika ulimwengu huu. Bado wanaendelea kumsoma tu.
 
Tunaingia mwezi wa tano sasa wa operation.
 
Najua ni timu Urusi ila Putin hana akili.
Sasa hivi vita ni biashara. Unapigana vita ili uonekane una silaha nyingi za kisasa? Unapigana na Ukraine ili uchukue nini. Hasara kubwa sana hii
Marekani ataendelea kuitawala dunia miaka buku kwasabb inaongozwa na mawazo ya watu wengi. Hata akipewa uraisi mtoto mwenye umri wa 10 bado ataongoza tu.
Nchi zinazoongozwa na mawazo ya mtu mmoja ni majanga sana.
Ila Wakenya akili zenu sijui mlipelekaga wapi asee, [emoji1316]. Tunajua wakenya ni washika buti wa US akianguka uyo Mr. Canon hamna chenu. Poleni
 
Umewaza ujinga mpk unafikiri wengine wanawaza ujinga. Unafikiri lengo la Mrusi kuipiga Ukraine nini?
Huu mwezi wa 5 bado Mrusi anakomaa na Ukraine. Aibu sana
Putin ni mpumbaf sana. Watu wanapigana vita biashara. Nikitumia $ nitapata faida ya $ ngapi. Kama biashara hailipi unaachana nayo. Unaiba mafuta ili kuimarisha nchi zao kiuchumi ila yeye anapigana ili aonekane na silaha nyingi sana.
Ishi kibepari ndiyo utaona Putin alivyokuwa mjinga sana.
Aisee naomba source ya huu ujinga ulioandika hapa. Ni wapi Russia alisema anataka kuichukua Ukraine??
 
Baba tofautisha military operation au civilian operation na VITA. Kinachopiganwa pale Ukraine ni VITA kwa mgongo wa military operation. EU , mmarekani mkorea mjapan hamna atakayetia mguu pale....

Vikwazo vyenyewe vinawashinda iwe vita.

Russia sio Libya
 
Ameshatumia laser weapons, hypersonic missiles n.k zote hizi ni silaha za kisasa katika ulimwengu huu. Bado wanaendelea kumsoma tu.

Then watamfanya nini? Wamepita marais wangapi vichwa panzi kuna aliyewai mgusa Russia?? Uyo babu yenu ndo ataweza mziki??

Ukweli mchungu ila endelea kuumia US hna uwezo wa kupambana na Russia. Na US hawezi ingia vitani peke yake bila shoga zake NATO. Kama kuna vita aliyowai pigana peke yake nitajie hapa
 
Wewe acha porojo UK lini imewahi kushinda vita? Vita sio porojo na maneno ya redioni ni vitendo na mauaji tu.
 
Tuna wasubiri uwanja wa vita, Urusi sio Zimbabwe
 
Hao bila vikao hawawezi pigana vita, utasikia US na washirika wake
 
Nimegundua huna hoja zaid ya ushabik tuu na mahaba ya Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…