Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Hasira ni ni kweli kabisaaaa ,awe mjita sasa ama mchaga ni hatari,kuna mmoja wa kichaga mi aliniblock kisa nilikuwa namsagia kunguni yule binti wa buza kuhusu maafande,yaani alivimba kabisaaa
Mimi ni mtu ambae maturity yangu imekua kubwa Sanaa.

Ni mtu msikivu na mvumilivu to the maximum Ila Sasa yule mdada alinipanda KICHWANI.

Nilimpa shiti Sana na ana invoice yangu laki 6 simdai kivilee nikajiuliza huyu ndio angekua ananidai Mimi si ningeletewa PA kabisa.
 
Mnawasema Wachaga ila kila siku ndoa za kuoa wachaga sasa wale wanaooa nani
 
Kwahiyo mtotk mtoto akipatikana nje ya ndoa anakua haramu jamii famili inamtenga kwenye haki zake kama mtoto mfano kama ana ndugu zake waliozaliwa ndani ya ndoa wanakua wanajaliwa zaidi na kupendwa kuliko yeye ?
haramu wamefanya wazazi wake, ndiyo maana anaitwa "mtoto wa haramu" siyo "mtoto haramu".
 
Mtu akiyazungumza anaonekana kama anayaponda hayo makabila ila kwa sehemu kubwa yanayozungumzwa yana akisi ukweli.
 
Mnawasema Wachaga ila kila siku ndoa za kuoa wachaga sasa wale wanaooa nani
Nikawaida yao yaani unyamaze tabu,ulumbane tabu,mimi sipendagi makelele akianza makelele naondoka
 
sawa na wahaya
 
Wakati tunaendelea na mjadala huu,tafadhali naomba nisaidie sekunde kadhaa kwa kupiga kura utafiti huu kupitia hii kiungo ili nikamilishe utafiti wangu.Asante!

 
Sasa wewe utakazana na majukumu ya kulea mtu ambaye sio mkeo na hana adabu. We kweli pumbunyo

Mimi nikilea wewe inakuuma nini? Maisha yangu wewe yanakuhusu nini? Mbona mimi sina muda na maisha yako?

Hao single mothers wangepatikana vipi kama wanaume wasingekimbia majukumu yao? Au mimba wanajipa wenyewe?

Vijana mnapambana kuwa makungwi JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…