Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Mimi nikilea wewe inakuuma nini? Maisha yangu wewe yanakuhusu nini? Mbona mimi sina muda na maisha yako?

Hao single mothers wangepatikana vipi kama wanaume wasingekimbia majukumu yao? Au mimba wanajipa wenyewe?

Vijana mnapambana kuwa makungwi JF.
Kwani Single mama wote wamekimbiwa?
 
Kuna muda Mungu huwa anatunusuru sana.
 
Sasa kama mnataja wote wa kusini, magharibi, kaskazini na kanda ya kati sasa huwa mnaoa kutoka wapi? Au mnaoa wakenya?
Nami huwa najiuliza, wanaponda makabila yote. Hata huko Kenya wengi ni ndugu na mipaka mingi, watu wameoana tumekuwa kama sawa tu.
Kuna watu wengi wana tabia tofauti kabisa na makabila yanavyosemwa. Pia watu wamechanganya sana, bado hizo tabia zinatajwa!!! Hawa watu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cha ajabu naambiwa wanawake wa kabila langu ni noma nikaoe kabila jingine ili nidhamu ndoani iwepo. Mleta mada naona kaorodhesha na kabila langu
 
😁😁😁😁😁😁😁 Ni balaa yani sasa mi hua namwambia hizo hasira tafta mtu wa kukukamua nafaka hizo zimezidi mwilini. Anabaki kujisemea tu hataki usumbufu na mtu. Kashajizoelea kuishi kama mkuki
Kuna kipindi aliwai kuwa anafanya hasira na kuibua migogoro na wivu uliopitiliza na wakijinga jinga Mimi ni mtu mstahimilivu Sana na nimepevuka Sanaa.

So akawa ananambia sijui Kama Kuna mwanaume anaweza nivumilia Ila wewe ni wapekee alikua akinambia

Binafsi sijawai ona watu visilani na wenye hasira, wivu uliopitiliza na Wana upendo wa ajabu sijui ndio upendo wa dhati.. of course nilipendwa Sana na yule mdada wa kikurya.

Hizo tabia zilinishinda na nikaweka red alarm 🚨 nikajiengua mapema yule mkurya alitumia muda mwingi mpaka ku move on kwangu.
 
Alikuwa na narcissist disorder huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…