Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Duuh
 
Malezi yana mchango mkubwa pia
 
Wakurya ,wajita ni wale wale mambo yao,kuna kabinti kakikurya yaani kabishi na kisirani mbaya sikumaliza nako miezi miwili nikarejea usimbeni till now
Wale malezi kwao ni vita tu🀣 yani utata mwanzo mwisho ndio maana end product huwa hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…