Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Wanyakyusa vepe
shemeji yangu alioa huyo mke kutoka mbeya.
Sijawahi kuona hata kusikia alichokifanya mke wake huyo kutoa mbeya .
1)Alichukua chaga za kitanda wanacholalia yeye na mumewe akatoa zile mbao akaziwasha moto kwe jiko la kuni akapikia chakula sababu gesi ya kupikia iliisha na mumewe hakuwepo alisafiri kikazi kwenye biashara,wakiwa na ugomvi.
2) ndoa yao ilikuwa na ugomvi wa hapa na pale sitaki nirukie hitimisho kuwa source ya ugomvi wao alikuwa ni nani kati yao ,mana ni ndoa za vijana wadogo wote early 30s
3)kingine kilichonishangaza ni mke kuhamishia hasira kwa wototo na kuwatoa kwenye members wanufaika wategemezi wa bima yake NHIF,mwanamke hasingiziwi watoto aliowazaa mwenyewe,hata kama alikuwa na ugomvi na mumewe watoto asingewakasirikia.
3)mahakama baada ya ndoa yao kuvunjika ,mahakama ina amua watoto wakae na baba yani shemeji yangu na kumuona mama hafai kukaa na watoto hata yule mdogo wa chini ya umri wa miaka 7,
mke kumsikiliza mchungaji zaidi ya mume wake na kutumia muda mwingi kusali badala ya kuhudumia familia,mtoto mdogo mpaka shemeji mumewe akawa anamuhudumia mtoto mdogo kumpa chakula maziwa ,mke yupo bize kanisani mpaka kurudi usiku
 
Ukiona unamuelezea sana ex namna hii ujue bado unampenda, umemmiss, unamuhitaji ila ni kwamba huna pa kumpatia kakuzidi parefu na wife wako hamfikii ex ukweli unaujua ila ndo utafanyaje lazima ujifariji,

Ex anaelezewa kwa maneno mawili tu kausha damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…